Ufafanuzi wa hotuba ya "upotoshaji" ya Zitto kwa watanzania waishio Marekani

HATA KAMA CHAMA KINAKUFA SIO VIZURI KUVUA NGUO ZENU ZA NDANI AMBAZO NI CHAFU NAMNA HII MBELE ZA WATU TENA WATU WAZIMA JAMANI HIKI NI KINYAAAA SISI SOTE TUNAUJUA UKWELI

ACHENI KUHARISHA HADHARANI CCM IMEKWISHA NA INAKWENDA ZAKE SASA MSIENDE NAYO NDIO MAANA MNAAMBIWA VUENI GAMBA VAENI GWANDA

m4c kwa ukombozi wetu PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZZZZ ZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
 
m4c
HATA KAMA CHAMA KINAKUFA SIO VIZURI KUVUA NGUO ZENU ZA NDANI AMBAZO NI CHAFU NAMNA HII MBELE ZA WATU TENA WATU WAZIMA JAMANI HIKI NI KINYAAAA SISI SOTE TUNAUJUA UKWELI

ACHENI KUHARISHA HADHARANI CCM IMEKWISHA NA INAKWENDA ZAKE SASA MSIENDE NAYO NDIO MAANA MNAAMBIWA VUENI GAMBA VAENI GWANDA

m4c kwa ukombozi wetu PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZZZZ ZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
 
Imetolewa na Tawi La CCM Makao Makuu Dodoma 28/05/2012, safi kabisa tunajua hicho ni chama cha upinzani kitarajiwa na kipo katika mafunzo ya kujibu hoja, waendelee kujifunza wanaanza na pumba kama hizi baadae watakuwa wazuri tu
 
CCM inaongoza nchi kwa kutumia sera za CHADEMA na ndiyo maana imeshindwa kuzitekeleza.

1 .Ndani ya ilani ya CCM 2010 hakuna swala la katiba mpya bali hili la katiba linapatikana kwenye ilani ya CHADEMA.

2.Pili swala la elimu Tanzania halina ubishi kuwa sasa elimu ya tanzania kwa ngazi ya awali,msingi na sekondari ni janga la kitaifa ,ebu tazama kama kila watoto kumi wa darasa la tatu watano kati yao hawawezi kusoma hadithi ya darasa la pili je hapo unategemea nini?Je! unatambua kuwa wastani wa wanafunzi darasani ni 45 lakini kwa sasa wanakaa zaidi ya 120 darasani? Kwa hali hilivyo kwa sasa huwezi kutofautisha idadi ya wanafunzi darasani wingi wao na wafungwa magerezani kwenye vyumba vyao vyao vya kulala maana kile chumba cha wwafungwa 40 sasa wanalala wafungwa 200.


"KUITETEA CCM KWA SASA UNAHITAJI KUWA MWENDAWAZIMU MAANA HAKUNA LA MAANA LA KUJIVUNIA CCM NI JANGA LA KITAIFA
"
 
Klikuwa mnaweka jina la kiongozi makao makuu aliyetoa huo ufafanuzi ila sasa mmeanza kutoa bila kueleza ni nani aliyejibu?
1suala la katiba mpya tunaomba mlete ilani yenu tulinganishe na ilani ya vyama vingine.
Kuhusu hotuba ya rais alishasema ahadi alizotoa ni zake lakini ilani hashiriki kuiandaa.

2.ni kweli ccm ndiyo yenye dhamana ya serikali na wizi wote uliofanyika serikalini umefanywa na makada wa ccm.
Wakati chadema wanatoa list of shame ccm ilitoa majibu ya kuilaani chadema sasa makada wa ccm wamedhihirika kuiba mali za uma.

2.......

4........

5.........
6.hali yauchumi wanchi ni mbaya matumizi ya serikali ni makubwa kuliko mapato huo ni ushahidi kuwa hali si nzuri

nitarudi baadae nina kazi.
 
Wazo la katiba mpya ni la CCM? Ha ha ha acha nicheke kama chizi mie! Hivi kuna mtanzania asiyejua kwamba wazo la katiba mpya ni la chadema? Kuna mtanznaia asiyejua kwamba CCM hawakuwa na hoja ya katiba mpya kwenye Ilani yao ya uchaguzi ya mwaka 2010? Sasa waueleze umma, ni mahali gani katika ilani yao ya uchaguzi wameongelea katiba mpya? Na kama hapapo, wametoa wapi wazo la kuanzisha katiba mpya?

Kama vile ni wehu au wamelogwa, CCM wanaendelea kucapitalize kwenye hoja ya Nassari na kuacha mambo ya msingi ya hali ngumu ya maisha yanayoikabili nchi, na ukweli kwamba watanzania wamechoshwa na utawala wa hovyo wa CCM. mmmh, I am real sick of these i-di-ots
 
Sina hakika na hizo critical analysis zako, you have a point kwa baadhi ya mambo lakini hujawa mkweli kwa baadhi ya mambo mengine. Maisha ya Mtanzania yamezidi kuwa magumu, kila kitu bei imekuwa juu, matumaini yamekatika kabisa. Lakini pia ufisadi unaofanywa viongozi walioko madarakani katika serikari iliyoko madarakani vipi napo? It's very true kuna mazuri ambayo yamefanywa lakini ubovu pia ni mwingi mno.
 
Mbona sasa ni personal attack mambo ya kujibu hotuba yake na nia yake ya kusaka uraisi vinaingiaje kwenye majibu ya CCM
 
Hata wao wenyewe CCM hawaamini wayasemayo kwa sasa.
Nani asiyejua kuwa katiba mpya haikuwa kwenye ilani ya CCM?
Nani asiyekumbuka kuwa Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Sheria wa wakati huo (Kombani) walitoa tamko la kusema katiba mpya haitakiwi?
Nani asiyekumbuka kuwa muswada wa kwanza ulipopelekwa bungeni ulikuwa wa kurekebisha katiba na si kuandika katiba mpya mpaka Chadema walipogoma?
Nani asiyekumbuka kuwa hata baada ya kurekebisha muswada huo na kuleta mpya bungeni lakini ukiwa na mapungufu makubwa, Chadema waligoma tena na ndipo Jk akawaita Ikulu na kufumua kila kitu?
Nani asiyekumbuka kuwa hata baada ya kupitishwa na kuwa sheria haikutumika na wala tume haikuteuliwa mpaka pale uliporudishwa bungeni na kufanyiwa marekebisho makubwa ili kuruhusu tume kuteuliwa?

Mambo mengine CCM waone aibu! Huku si kuiba agenda ya Chadema, ni kukwapua agenda kama kibaka.
Very good point!
 
Matamko, matamko, na matamko.......... hivi ugumu wa maisha ya watanzania yanahitaji chanzo cha takwimu? kweli aliye vimbbiwa hatakaa amjue mwenye njaa! CCM mtakalia matamko mpaka mtakapo amshwa na nguvu ya umma.
 
ni kuwaonea huruma wana CCM
wao ni kama bendera kufuata upepo, kama hauna upepo hawana jipya
wao wanasubiri chadema waseme nao ndio waibuke..KWA SUALA LA KATIBA MPYA WSIJITIE WAO NDO WAANZILISHI
HILI NI WAZO NA NIA ZA WANANCHI. wasubiri tuwachinjie baharini 2015.
 
Mateke ya mwisho ya punda anayekata raha.
Ukisikia "mgonjwa wetu leo kaamka vizuri, kafumbua jicho, kacheka, kanywa vijiko viwili vya uji...," tayarisheni kaburi.
 
Mfano:-

  1. Tamko la Mhe. Joshua Nassari la kumzuia Rais, Mkuu wa Nchi, asikanyage Mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.


  1. Tamko la Mhe. Kabwe la kudai kuwa Wazanzibar wameporwa mafuta na gesi.


  1. Hata kwenye uchaguzi mdogo wa Mbeya vijijini mwaka 2009 CHADEMA ilitamka kwamba Mhe. Ali Hassan Mwinyi Rais Mstaafu asikanyage Mbeya.


  1. Tamko la Mhe. Wenje kuwa Mwanza inajitosheleza kuwa nchi kwa rasilimali zake na hivyo kupendekeza serikali za majimbo ili Mwanza ijiendeshe yenyewe.

Matamko haya hayawezi kutamkwa na kiongozi mmoja wa CHADEMA bila ridhaa ya Chama ama sivyo wangekuwa wanachukuliwa hatua na Chama chao.


28/05/2012

nyie vilaza kweli...mara ngapi viongozi wa ccm wanatamko hadharani maneno ya uchochezi na serikali au chama inakaa kimya?? tena CCM wao wanagombana wao kwa wao na bado serikali au chama inakaa kimya...kweli mkuki kwa nguruwe mtamu...
 
siku chadema walipokuwa ikulu wanaongea na mkuu...nilikuwepo na alisema hivi'' bila ninyi chadema kuja na sera hii ya katiba hakika katiba iliyopo ingedumu hata kwa miaka 100 japo ina mapungufu mengi, nawashukuru sana kwa wazo hili, tatizo moja ninalloliona mimi ni kwamba nisiposaini mswaada huu wenzangu ndani ya chama hawatanielewa maana wameujadili na kuupitisha, lakini tutafanya kila linalowezekana haya tuliyojadili hapa yanafanyiwa kazi haraka''


huyo aliyetoa tamko hilo sijui tawi la dodoma aende akamuulize mkuu wake wa kazi...
 
CCM-Gamba wewe ulietekeleza kibarua cha kukupatia mkate wa leo kw kuandika huu *****, tumekusikia ila hatudanganyiki na hizi porojo. Anzeni tu kuazima maturubai na viti na masfuria tayari kwa matanga maana ccm lazima kife soon,tene mkiendelea na porojo kama hizi tutabadilisha mfumo,itabidi tupige kambi rasmi ya kuwang'oa if possible before 2015.
 
siku chadema walipokuwa ikulu wanaongea na mkuu...nilikuwepo na alisema hivi'' bila ninyi chadema kuja na sera hii ya katiba hakika katiba iliyopo ingedumu hata kwa miaka 100 japo ina mapungufu mengi, nawashukuru sana kwa wazo hili, tatizo moja ninalloliona mimi ni kwamba nisiposaini mswaada huu wenzangu ndani ya chama hawatanielewa maana wameujadili na kuupitisha, lakini tutafanya kila linalowezekana haya tuliyojadili hapa yanafanyiwa kazi haraka''


huyo aliyetoa tamko hilo sijui tawi la dodoma aende akamuulize mkuu wake wa kazi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom