Si unajua tatizo la siasa za wabongo ni kupinga kila kitu, ipo siku watapinga hata tahadhari ya kuwanusuru.
Mbona sasa ni personal attack mambo ya kujibu hotuba yake na nia yake ya kusaka uraisi vinaingiaje kwenye majibu ya CCM
sasa nimekubali zitto ni mwongozo wa serikali ya ccm