Ufafanuzi tafadhali kuhusu: End of Support for Windows 7

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,647
2,937
Tafadhali watalaam kuna hii taatifa

January 14, 2020, is the date that the US firm has set for the big change and the advice for anyone using Windows 7 is to upgrade as soon as possible to avoid and cyber issues in the future. "

Pamoja na kuacha kuihudumia windows 7 kama nilivyoelewa mimi.

Mi naipenda sana win 7 sasa je kwa matumizi yetu ya kawaida kufanya music na Cubase na Video Editing na matumizi ya kawaida tu nitaathirika vipi au ni kukosa drivers za ku download ? inanichanganya naomba wenye ujuzi na hii kitu watusaidie

Nawasilisha
 
Teknolojia inazidi kukua na pia computer zinakuja na specifications mbalimbali.. Ukiwa na laptop ya RAM ya GB kuanzia 4 ina uwezo wa kubeba window 10.. So kama pc/laptop ina uwezo mkubwa hebu install windows 10 au 8 au ubuntu.. Windows hz za kisasa ziko very Upgraded kuliko 7 ila ugumu labda kutumia ila ukiwa nayo utaijulia mdg mdg.. Hata niliipenda sn window XP na 7 ni rahis sana na nyepes hzina mambo mengi. Januari hii ni mwisho wa hizo window 7 wanazifungia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nitaathirika vipi
Microsoft watastopisha tech support ( kwa watumiaji halali , wenye genuine version ya Windows ) na kusitisha updates za security patches

wewe hii najua haikuhusu maana hujawai hata kuwapigia simu ( au kuwatumia email kwa ajili ya support ) si ajabu una cracked/pirated version na si ajabu pia ume turn off windows updates ili isikumalizie bando

Hata uki turn on izo Updates , kimsingi zitamaliza HDD yako na kuongeza resource ambazo huzitumii kabisa

walifanya the same kwa Windows XP miaka ya 2014 ivi, ila wanyama bado tuko na iyoiyo XP mpaka leo
 
Microsoft watastopisha tech support ( kwa watumiaji halali , wenye genuine version ya Windows ) na kusitisha updates za security patches

wewe hii najua haikuhusu maana hujawai hata kuwapigia simu ( au kuwatumia email kwa ajili ya support ) si ajabu una cracked/pirated version na si ajabu pia ume turn off windows updates ili isikumalizie bando

walifanya the same kwa Windows XP miaka ya 2014 ivi, ila wanyama bado tuko na iyoiyo XP mpaka leo
vladimir putin nae bado anatumia window XP!
 
mkuu , huku amna 'vyura', em rudi MMU kule
fahamuzaidi_B6oKPm5Aoiz.jpeg
 
Tafadhali watalaam kuna hii taatifa

January 14, 2020, is the date that the US firm has set for the big change and the advice for anyone using Windows 7 is to upgrade as soon as possible to avoid and cyber issues in the future. "

Pamoja na kuacha kuihudumia windows 7 kama nilivyoelewa mimi.

Mi naipenda sana win 7 sasa je kwa matumizi yetu ya kawaida kufanya music na Cubase na Video Editing na matumizi ya kawaida tu nitaathirika vipi au ni kukosa drivers za ku download ? inanichanganya naomba wenye ujuzi na hii kitu watusaidie

Nawasilisha
nashukuru kwa mawazo yako, mimi window 10 naipenda na nilikuwa naitumia tatizo ukiweka bado inakula hata bila KUGOOGLE na nimezima UPDATES zote kwenye compyuta ili isiwe inakula MB lakini wapi bado inakula ikabidi nihamie WINDOW 7 hapo hata MB1 haitumiki mpaka NIGOOGLE ndo MB zinatumika. mimi nakomaa nayo WINDOW 7
 
Win 8.1 vipi nayo inatafuna bando ?
 
Win 8.1 vipi nayo inatafuna bando ?
[/QU
window 8 kawaida nilishawahi kutumia ila seven mpaka sasa hivi napost na google natumia laptop naweka kifurushi cha ttcl mwanachuo cha elfu 5'000 GB 5 mpaka mwisho wa mwezi inabaki GB 1na MB kama 500 hv kwa window 7 ila wakati nimeweka window 10 kilikuwa kina kaa siku 15 na matumizi ni yale yale mpaka nikawa nawapigia ttcl huduma kwa wateja mbona GB zangu zinatembea kiasi hicho wakanambia SI UNAGOOGLE unatumia internet ikabidi niingie window 7 ndo saving yangu aise window 10 nzuri kama una uwezo kuhihudumia.
 
Back
Top Bottom