Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Kwa Siha sina tatizo ila kwa Kinondoni napata shida kidogo. Nakumbuka jinsi Mtulia alivyotutia hasara tukipambania kura za Iddi mwaka 2015 lakini leo hii anapita bila kupingwa?!!!........ Yule Mollel ni mwanaccm kindakindaki so kumrejesha bungeni ni haki yake japokuwa Mwanri ni mzuri zaidi!Wadau
Kumekuwapo malumbano kwa baadhi ya watu kuhusu Mamlaka iliyotumia Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika Majimbo ya Kinondoni na Siha pasina kupitia mchakato wa Kura wa Kura ya Maoni.
Chama kinapenda kutoa ufafanuzi mdogo, kwamba uamuzi wa Kamati Kuu iliyoketi Mwezi Desemba 2017, Mjini Dodoma, umefanyika kwa mujibu wa Katiba, Kanuni ya Uchaguzi na Kanuni za Uteuzi wa Wagombea wa CCM katika Vyombo vya Dola.
Kanuni Za Uteuzi Wa Wagombea Wa CCM Kuingia Katika Vyombo Vya Dola (2010), Fungu la Tatu, Ibara ya 16 (2) Kanuni inasema, "Endapo, kwa sababu maalum, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa itaona kuwa hakuna haja ya kuitisha kura za maoni, hususan katika uchaguzi mdogo, itakuwa na uwezo wa kuelekeza kwamba zoezi la kura za maoni lisifanyike."
Kanuni hii haina mabadiliko na inasomeka hivyo hivyo katika Kanuni hii toleo la 2005 Fungu la Pili Ibara ya 10(2).
Imetolewa na,
*IDARA YA ITIKADI NA UENEZI*
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)*
Acheni kuua chama nyie na njaa zenu, usitetee huu ujinga hii kamati kuu ilikaa wapi na lini? Msitufanye sisi wana ccm wapumbavu
Yeye si muhimu bali ujumbe wake kama ni wa kweli ndio unaofikirisha!Wewe ni nani katika chama Bonifasi. Maana unasema chama kinapenda kutoa ufafanuzi, nilitegemea kauli hii itolewe na Pole pole au Kinana au Magufuli.
Polepole umeirasimisha nafasi yako? Au upo likizo ya mwaka mpya na ofisi yako umemuachia kaimu katibu uenezi? Mbona sikuwahi kusikia kama nafasi yako ina kaimu katibu? Huyu Bonifasi Kichonge ni nani hapo makao makuu lumumba? Mbona kila kinachojiri hapo ofisini yeye ndiye anatutaarifu kabla yako?Wadau
Kumekuwapo malumbano kwa baadhi ya watu kuhusu Mamlaka iliyotumia Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika Majimbo ya Kinondoni na Siha pasina kupitia mchakato wa Kura wa Kura ya Maoni.
Chama kinapenda kutoa ufafanuzi mdogo, kwamba uamuzi wa Kamati Kuu iliyoketi Mwezi Desemba 2017, Mjini Dodoma, umefanyika kwa mujibu wa Katiba, Kanuni ya Uchaguzi na Kanuni za Uteuzi wa Wagombea wa CCM katika Vyombo vya Dola.
Kanuni Za Uteuzi Wa Wagombea Wa CCM Kuingia Katika Vyombo Vya Dola (2010), Fungu la Tatu, Ibara ya 16 (2) Kanuni inasema, "Endapo, kwa sababu maalum, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa itaona kuwa hakuna haja ya kuitisha kura za maoni, hususan katika uchaguzi mdogo, itakuwa na uwezo wa kuelekeza kwamba zoezi la kura za maoni lisifanyike."
Kanuni hii haina mabadiliko na inasomeka hivyo hivyo katika Kanuni hii toleo la 2005 Fungu la Pili Ibara ya 10(2).
Imetolewa na,
*IDARA YA ITIKADI NA UENEZI*
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)*
Kwanza bora umekubali kama yeye si muhimu. Pili bora hata wewe mfia chama umetamka ujumbe wake 'kama' ni wa kweli!Yeye si muhimu bali ujumbe wake kama ni wa kweli ndio unaofikirisha!
Uongo uliotukuka kwa hisani ya dola iliyosiginiwa katibaWadau
Kumekuwapo malumbano kwa baadhi ya watu kuhusu Mamlaka iliyotumia Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika Majimbo ya Kinondoni na Siha pasina kupitia mchakato wa Kura wa Kura ya Maoni.
Chama kinapenda kutoa ufafanuzi mdogo, kwamba uamuzi wa Kamati Kuu iliyoketi Mwezi Desemba 2017, Mjini Dodoma, umefanyika kwa mujibu wa Katiba, Kanuni ya Uchaguzi na Kanuni za Uteuzi wa Wagombea wa CCM katika Vyombo vya Dola.
Kanuni Za Uteuzi Wa Wagombea Wa CCM Kuingia Katika Vyombo Vya Dola (2010), Fungu la Tatu, Ibara ya 16 (2) Kanuni inasema, "Endapo, kwa sababu maalum, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa itaona kuwa hakuna haja ya kuitisha kura za maoni, hususan katika uchaguzi mdogo, itakuwa na uwezo wa kuelekeza kwamba zoezi la kura za maoni lisifanyike."
Kanuni hii haina mabadiliko na inasomeka hivyo hivyo katika Kanuni hii toleo la 2005 Fungu la Pili Ibara ya 10(2).
Imetolewa na,
*IDARA YA ITIKADI NA UENEZI*
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)*
hebu tuelezane hizo sababu maalum sasaWadau