Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,997
- 103,382
Tatizo Vijana wa ccm waoga, tukatae huu ujinga haiwezekani mtu mmoja aendeshe chama bila vikao huu upuuzi,
kwa taarifa yako ccm mpya haitegemei wanachama wala nguvu ya hoja. Ccm mpya inategemea kofia ya mwenyekiti ya amiri jeshi mkuu. Na mwenyekiti wenu kwa kujua yeye au nyie wanachama wa ccm hamna uwezo wa kujenga hoja za kisiasa, ameamua kutunga sheria ya mfukoni ya kudhibiti vyama vya siasa. Na soon akina Kafulila, Katambi nk, watapata vyeo. Ww na wenzako mliokulia na kuzeekea ccm mtabaki kubeba mapanga kukata wapinzani, kupeleka viongozi kwa waganga nk.