Ufafanuzi mdogo juu ya mamlaka ya kamati kuu ya NEC kuteua wagombea ubunge bila mchakato wa kura ya maoni

Ngaranalo

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
336
250
Kwa Siha sina tatizo ila kwa Kinondoni napata shida kidogo. Nakumbuka jinsi Mtulia alivyotutia hasara tukipambania kura za Iddi mwaka 2015 lakini leo hii anapita bila kupingwa?!!!........ Yule Mollel ni mwanaccm kindakindaki so kumrejesha bungeni ni haki yake japokuwa Mwanri ni mzuri zaidi!
Tatizo Vijana wa ccm waoga, tukatae huu ujinga haiwezekani mtu mmoja aendeshe chama bila vikao huu upuuzi,
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
8,704
2,000
Kuna damu itamwagika kwenye chaguzi hizi mbili kama Upinzani utaamua kushiriki maana CCM na Serikali yake piga ua wanataka hawa jamaa wawili warudi. Mimi sio mtabiri wala msoma nyota na wala huu sio uchochezi. Just saying....
 
Ngaranalo

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
336
250
Polepole umeirasimisha nafasi yako? Au upo likizo ya mwaka mpya na ofisi yako umemuachia kaimu katibu uenezi? Mbona sikuwahi kusikia kama nafasi yako ina kaimu katibu? Huyu Bonifasi Kichonge ni nani hapo makao makuu lumumba? Mbona kila kinachojiri hapo ofisini yeye ndiye anatutaarifu kabla yako?
Au umeanza likizo ya kujiandaa kuwa katibu mkuu wa chama? Tuhabarishe tujue maana huyu mkurupukaji anayewahi siti anaharibu na hata vichwa vya habari vina makengeza na hahariri kabisa! Hebu mwambie atulie uandike kwanza yeye aquote kutoka kwako kukiwa na official letter.
Tatizo la Polepole baada ya kupewa nafasi kafukuza watu wazuri ofisini kwake kabaki na Vijana Mashoga akina Shabani, Saidi Nguya, Magoti na demu wake Irene aliyetoka naye FESS pale, Huyu Shabani ni Shoga kila mtu anajua anashughulikiwa na DED Kayombo na mwenyekiti mpya wa Vijana Taifa Herri James unategemea hapo kutakuwa na mpya? Polepole badilika
 
ARCHBISHOP

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
270
500
Inachekesha unaposoma comments, hasa hasa Jf, kuna wakati CHADEMA ujifanya CCM, na kinyume chake pia, hii yote ufanyika kila upande ukiamini utaongeza mgogoro kwa mwenzake, trust me, wanaolalamika kuumia kwa sababu CCM hawajafata utaratibu ni CDM. Siasa bwana!
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,092
2,000
Wadau tafadhali pitieni ufafanuzi kutoka CCM

*Kumekuwapo malumbano kwa baadhi ya watu kuhusu Mamlaka iliyotumia Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika Majimbo ya Kinondoni na Siha pasina kupitia mchakato wa Kura wa Kura ya Maoni.

Chama kinapenda kutoa ufafanuzi mdogo, kwamba uamuzi wa Kamati Kuu iliyoketi Mwezi Desemba 2017, Mjini Dodoma, umefanyika kwa mujibu wa Katiba, Kanuni ya Uchaguzi na Kanuni za Uteuzi wa Wagombea wa CCM katika Vyombo vya Dola.

Kanuni Za Uteuzi Wa Wagombea Wa CCM Kuingia Katika Vyombo Vya Dola (2010), Fungu la Tatu, Ibara ya 16 (2) Kanuni inasema, "Endapo, kwa sababu maalum, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa itaona kuwa hakuna haja ya kuitisha kura za maoni, hususan katika uchaguzi mdogo, itakuwa na uwezo wa kuelekeza kwamba zoezi la kura za maoni lisifanyike."

Kanuni hii haina mabadiliko na inasomeka hivyo hivyo katika Kanuni hii toleo la 2005 Fungu la Pili Ibara ya 10(2)*

Imetolewa na,

*IDARA YA ITIKADI NA UENEZI*
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)*
Makarai ya ccm.
 
christelly

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,469
2,000
Yuko wapi huyo acheni propaganda zenu haya ndo mambo yalisababisha mkashindwa vibaya kwenye chaguzi.
Chaguzi au ganguzi??..
Nyie mashoga wa Lumumba mtaacha lini ufirauni WENU??
Wadau tafadhali pitieni ufafanuzi kutoka CCM

*Kumekuwapo malumbano kwa baadhi ya watu kuhusu Mamlaka iliyotumia Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika Majimbo ya Kinondoni na Siha pasina kupitia mchakato wa Kura wa Kura ya Maoni.

Chama kinapenda kutoa ufafanuzi mdogo, kwamba uamuzi wa Kamati Kuu iliyoketi Mwezi Desemba 2017, Mjini Dodoma, umefanyika kwa mujibu wa Katiba, Kanuni ya Uchaguzi na Kanuni za Uteuzi wa Wagombea wa CCM katika Vyombo vya Dola.

Kanuni Za Uteuzi Wa Wagombea Wa CCM Kuingia Katika Vyombo Vya Dola (2010), Fungu la Tatu, Ibara ya 16 (2) Kanuni inasema, "Endapo, kwa sababu maalum, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa itaona kuwa hakuna haja ya kuitisha kura za maoni, hususan katika uchaguzi mdogo, itakuwa na uwezo wa kuelekeza kwamba zoezi la kura za maoni lisifanyike."

Kanuni hii haina mabadiliko na inasomeka hivyo hivyo katika Kanuni hii toleo la 2005 Fungu la Pili Ibara ya 10(2)*

Imetolewa na,

*IDARA YA ITIKADI NA UENEZI*
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)*
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,092
2,000
Inachekesha unaposoma comments, hasa hasa Jf, kuna wakati CHADEMA ujifanya CCM, na kinyume chake pia, hii yote ufanyika kila upande ukiamini utaongeza mgogoro kwa mwenzake, trust me, wanaolalamika kuumia kwa sababu CCM hawajafata utaratibu ni CDM. Siasa bwana!
Kwahiyo unataka kutuaminisha Steve Nyerere ameyafurahia maamuzi haya na anayaunga mkono?
 
Lugeye

JF-Expert Member
Apr 18, 2011
1,686
2,000
Tatizo la Polepole baada ya kupewa nafasi kafukuza watu wazuri ofisini kwake kabaki na Vijana Mashoga akina Shabani, Saidi Nguya, Magoti na demu wake Irene aliyetoka naye FESS pale, Huyu Shabani ni Shoga kila mtu anajua anashughulikiwa na DED Kayombo na mwenyekiti mpya wa Vijana Taifa Herri James unategemea hapo kutakuwa na mpya? Polepole badilika
mambo makubwa haya
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
23,502
2,000
Wadau tafadhali pitieni ufafanuzi kutoka CCM

*Kumekuwapo malumbano kwa baadhi ya watu kuhusu Mamlaka iliyotumia Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika Majimbo ya Kinondoni na Siha pasina kupitia mchakato wa Kura wa Kura ya Maoni.

Chama kinapenda kutoa ufafanuzi mdogo, kwamba uamuzi wa Kamati Kuu iliyoketi Mwezi Desemba 2017, Mjini Dodoma, umefanyika kwa mujibu wa Katiba, Kanuni ya Uchaguzi na Kanuni za Uteuzi wa Wagombea wa CCM katika Vyombo vya Dola.

Kanuni Za Uteuzi Wa Wagombea Wa CCM Kuingia Katika Vyombo Vya Dola (2010), Fungu la Tatu, Ibara ya 16 (2) Kanuni inasema, "Endapo, kwa sababu maalum, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa itaona kuwa hakuna haja ya kuitisha kura za maoni, hususan katika uchaguzi mdogo, itakuwa na uwezo wa kuelekeza kwamba zoezi la kura za maoni lisifanyike."

Kanuni hii haina mabadiliko na inasomeka hivyo hivyo katika Kanuni hii toleo la 2005 Fungu la Pili Ibara ya 10(2)*

Imetolewa na,

*IDARA YA ITIKADI NA UENEZI*
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)*
Wewe mtu acha kutetea maovu, dhambi zako zinaandkwa kwenye jiwe la moto kamwe zisifutike!
 
sicco

Senior Member
Dec 1, 2017
138
225
Acheni kuua chama nyie na njaa zenu, usitetee huu ujinga hii kamati kuu ilikaa wapi na lini? Msitufanye sisi wana ccm wapumbavu
Ww ni mwana ccm tangu lini, kaa mbali kabisa. Endeleeni kutafuta coverage Nairobi.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
72,886
2,000
Na hasa kama MAKUBALIANO YA MANUNUZI YA BINADAMU YALIGUSIA KUGOMBEA TENA KWA WATUMWA WALEWALE WALIOJIUZA .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom