Kwetu Tunduru
Member
- Feb 7, 2023
- 16
- 57
Ni dhahiri mzee mchonga nae alikuwa sehemu ya tatizo katika nchi hii.
ni ujinga wenu wa kutojua historia ya nchi yenuHatukuwai kuambiwa hapo nyums kuna RAZABA sijui kazabwa iweje leo?
Anyway kuna mchakato wa kujengwa bandari pale isijekuwa siyo yetu.
Tunywe mtori nyama ziko chini km tutazikuta🥲
Naenda kusoma hii.Hamkufatilia tatizo RAzABA ilikuwepo miaka nenda rudi babu kijana
Ova
Ninachoongelea kuna wachina hawa wanapewa hiyo sehemu miaka 99wajenge bandari mahoteli.ni ujinga wenu wa kutojua historia ya nchi yenu
Kwani lazima waje. Wakae huko visiwani waendelee kula konokono.Inapendelewa wakati wazanzibar wakija huku katika nyanja za kisiasa wanakuwa kama jehanamu?
munaanza na extrapolations za ajabu kabisa. Nani amesema kuwa bandari ya Bagamoyo itakuwa ya Zanzibar? hayo mumeongeza wenyewe na kila siku zikiendelea uzushi utazidi kunoga.Ninachoongelea kuna wachina hawa wanapewa hiyo sehemu miaka 99wajenge bandari mahoteli.
Tutaambiwa ni ya Zanzibar
uchumi wa buluu.
Ndo mana ikaja brief report.
Wadanganyika tutanufaika nini.
Shida iliyopo ni Katiba ya Sasa Kumpa Rais wa Jamhuri madaraka Makubwa ambayo wakati mwingine anafanya maamuzi ya Nchi nzima kwa kuongozwa na Utashi wake.Hayati Mwalimu Nyerere alitoa eneo hilo ili kuwapa fursa Wazanzibari
View attachment 2643043
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo hapa tunasubiri mtori uishe tuone nyamamunaanza na extrapolations za ajabu kabisa. Nani amesema kuwa bandari ya Bagamoyo itakuwa ya Zanzibar? hayo mumeongeza wenyewe na kila siku zikiendelea uzushi utazidi kunoga.
Hili nalo neno la kupatiwa maelezo!Hatukuwai kuambiwa hapo nyums kuna RAZABA sijui kazabwa iweje leo?
Anyway kuna mchakato wa kujengwa bandari pale isijekuwa siyo yetu.
Tunywe mtori nyama ziko chini km tutazikuta🥲
ni ranchi tu, inaweza kuwa revoked kama ardhi yeyote ya tz inavyoweza kuwa revoked. ila sio zanzibar ndani ya Tanganyika.Hili mbona liko wazi Kuna shida kubwa sana ya Watanganyika kutokujua historia Na Kwani Smz KUWA na ardhi NDANINYA TANGANYIKA nikosa !!! mbona sisi Tz tuna majengo ya ubakozi tunamiliki mataifa mengi tu
unaongea Kama huelewi mambo.tatizo Kuna ubaguzi ndo maana watanganyika wanaona Kama wanaibiwa Mali zao , haiwezekani mzanzibar anaruhusiwa kumiliki ardhi huku Tanzania lkn mtanzania haruhusiwi !!! ikumbukwe kwa Sasa wa zbar ni wengi sio laki 3 wa enzi za Uhuru. huu ndo uhuni na ubaguzi ambao haukubaliki kwa watanzania . huu muungano ni fake .. fake... fake.Hili mbona liko wazi Kuna shida kubwa sana ya Watanganyika kutokujua historia Na Kwani Smz KUWA na ardhi NDANINYA TANGANYIKA nikosa !!! mbona sisi Tz tuna majengo ya ubakozi tunamiliki mataifa mengi tu
ubaya mke kawa na kiburi , mabwana wengi na anataka kujitawala bila kuingiliwa lolote!! Hii ndoa haikubaliki. Ni Kama. wanatukomoa hivi!!Unaitwa Muungano, lakini kwa jicho la 3 hapa mfano wake, ni kama Tanzania bara kamuoa Zanzibar. Na wakati wa uchumba ndiyo kuhongwa Ranchi hiyo na bado mengi tutayasikia.
Sasa kipindi kamili cha ndoa ndiyo, hii kuhudumia mke sasa mara kafutiwa deni lote la umeme.
Unajua ile mke, anadekezwa na kupewa kila anachotaka. Ndiyo nikionacho hapo.
Shukrani kwa taarifaMaaana halisi ya neno RAZABA ni Ranchi ya Zanzibar, Bagamoyo (Ranch of Zanzibar in Bagamoyo) Kwa simulizi kutoka kwa watangulizi wetu eneo la RAZABA ilikuwa ni zawadi ya Mwalimu Nyerere kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na lina ukubwa wa zaidi ya hekta elfu ishirini na nane.
Mto Wami, reli ya Tanga, Barabara ya Bagamoyo Msata, mto ruvu na bahari ya hindi ndio mipaka halisi ya RAZABA. Mmiliki wa RAZABA ni Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kwa maana halisi, RAZABA ni eneo la Zanzibar ndani ya Tanganyika.
Hayati Mwalimu Nyerere alitoa eneo hilo ili kuwapa fursa Wazanzibari kumiliki mifugo yao wenyewe, na mifugo yote inayotoka maeneo ya Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma na kwingineko kwenda Zanzibar, ifikie RAZABA kabla ya kusafirishwa kwenda kutumiwa na wananchi wa Zanzibar.
View attachment 2643043View attachment 2643044
Sent using Jamii Forums mobile app