Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Heshima kwenu wakuu wangu:
Kuna network moja nafanya nayo kazi online sasa imefkia hatua ya kupokea payment na wanataka kutuma kwa cheque lakini wamesisitiza niulize kwanza je naweza ku cash cheque iliyotoka bank ya CANADA kwa USD??
sasa wakuu mimi kusema kweli sielewi lolote kuhusiana na mambo ya cheque, nilijaribu kuwasiliana na CRDB jana lakini naona tulipishana kidogo kwenye maelezo hivyo sikuambulia kitu, naombeni ufafanuzi je niki request hyo cheque ije ntaweza kui cash?? na kama ntaweza ni bank ntaweza kufanya hivyo??
haya hapa chini ndio maelezo ya hyo network nnayofanya nayo kazi
asante.