Uenyekiti UWT: Anna Kilango -vs- Mariam Mamuya

wadau!!!! Saidi kulwa na mami mimi nipo very objective katika hii ishu situmii past informations wala speculations kutoa acccusations natumia simple facts tu wakuu,

tatizo watu mnamjudge anna from cdm point of view na kubase on the past encounters.

Ngoja nitoe mtazamo wangu kuadress your past doubts said kulwa

tukianza na tuhuma ya uchambo. Ni kweli anna alileta mtikisiko na zile tuhuma alizomwaga na alikuwa na mushkeli kwelikweli ila jambo ambalo nyinyi wagumu kulielewa ni kuwa anna ni mpambanaji ila ni mwanachama wa chama, na bila chama anna hana kitu. Lazima tukubali siasa za bongo chama kwanza, msimamo binafsi baadae, sasa anna inawezekana alichimbwa biti na chama, akaamua ku save herself to die another day! Simply angeendela kuleta kibri wangemtoa, na bila ubunge na ccm nani angemsikia tena ana? She made a smart move kuaknowledge things arent right bt time to fight is not right either! Na kukosa timing ndo kumewamaliza kafulila, hamad rashid, mpendazoe na ndo kunanyemelea kumpoteza zito. I bet u zito atanyamaza tu kwenye hili soo la saa! He is smart. Je ni bora mpambanaji alinyamazishwa au mtu asieona umuhimu wa mapambano????

Ana ni mpambanaji na ameonesha kipaji sasa mkimuona kobe kainama mjue anatunga sheria, she will rise again watch and see! Siasa za chama nyie hamzijui ukicheza tu u will be reduced to nothing and you will remain silent forever no matter how much you yelll! Wangapi mnamsikia mpendazoe sasa?

Kurudi kwenye uchaguzi lets be objective (no haiting! No negativity)

sofia keshaongoza mda wake, awaachie wengine sio kujibinafsishia umoja kama mesi alivojibinafsishia tuzo ya mchezaji bora.

If she runs again its fine ila wapambe muaccount alichofanya na atakachofanya sio kuponda watu

kbwa zaidi ni rahisi kumuevaluate mtu ambaye utendaji wake umeonekana, kuliko kumjudge mtu kwa past yake ambayo haihusiani na hicho cheo thats judging and isnt fare

swala hapa sio kashaongoza fulani tumuachie mwenzie...swala hapa ni nani anauwezo wa kuongoza...umeambiwa kuwa anna ni chambo na umekubali sasa unataka wanawake wa uwt waongozwe na chambo ambacho saa na dakika yoyote kina ufyata?...angalia vizuri mkuu, ningekuwa mimi ndio mshauri wa anna ningemshauri amuunge mkono sophia simba manake keep on mind siasa za ndani ya chama huwaga pia na impact ktk nchi sasa akishindwa uchaguzi huu basi awe tayari kushindwa uchaguzi mkuu ujao wa nchi...uenyekiti wa uwt sio sehemu ya kujaribiana...kama ingekuwa ukiongoza mara moja unamwachia mwenzio basi kikwete asingegombea angemwachia tu dokta slaa
 
wapuuzi wakubwa... Badala ya kusema nini mtafanya mmeishia kuchafuana ili mchafu kidogo ndio awe madarakani

sijui lini tutajifunza kwamba haya majumuiya, siasa kwa ujumla na takataka zao zote hazina faida kwa taifa bali ni mchwa wa kula pesa zetu chache na kujilimbikizia expemtions
matusi hayasaidii kuonyesha kiwango cha uelewa na utashi wako mkuu...
 
msiba kweli wewe msiba tena mkubwa mwanangu. Unachofanya kumtetea sofia simba ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga kinyesi. Kimsingi, hakuna msafi ccm. Isitoshe kama sofia ni mwanzilishi wa viti maalum ambavyo wahuni huita vya chupi basi hana maana kuanzia hapo ukiachia mbali kuwa mdomo wa mafisadi. Kilango ni kweli ni fisadi anayetumiwa na akina richmond. Huyo mamuya ndiyo usiseme. Kimsingi uwt kwa vile ni genge la chama cha mafisadi na mafisi haliwezi kuwa na mtu mwenye udhu zaidi ya mafisi wanaowania kuwauza akina mama wa mashambani kama ambavyo imekuwa kawaida yao. Ccm imewauza watanzania kwa wawekezaji huku uwt ikiwauza akina mama kwa mfumo dume kiasi cha kutegemea viti vya hisani kana kwamba hawana haki katika nchi yao.
pamoja na hayo lakini inatakiwa wapate uongozi wao...ndio maana tunawajadili hapa...huo ufisadi upo kila sehemu na kila mtu anajua lakini tuhuma hazizuii watu kuendelea na part b ya maisha yao...chukua hatua
 
wadau!!!! Saidi kulwa na mami mimi nipo very objective katika hii ishu situmii past informations wala speculations kutoa acccusations natumia simple facts tu wakuu,

tatizo watu mnamjudge anna from cdm point of view na kubase on the past encounters.

Ngoja nitoe mtazamo wangu kuadress your past doubts said kulwa

tukianza na tuhuma ya uchambo. Ni kweli anna alileta mtikisiko na zile tuhuma alizomwaga na alikuwa na mushkeli kwelikweli ila jambo ambalo nyinyi wagumu kulielewa ni kuwa anna ni mpambanaji ila ni mwanachama wa chama, na bila chama anna hana kitu. Lazima tukubali siasa za bongo chama kwanza, msimamo binafsi baadae, sasa anna inawezekana alichimbwa biti na chama, akaamua ku save herself to die another day! Simply angeendela kuleta kibri wangemtoa, na bila ubunge na ccm nani angemsikia tena ana? She made a smart move kuaknowledge things arent right bt time to fight is not right either! Na kukosa timing ndo kumewamaliza kafulila, hamad rashid, mpendazoe na ndo kunanyemelea kumpoteza zito. I bet u zito atanyamaza tu kwenye hili soo la saa! He is smart. Je ni bora mpambanaji alinyamazishwa au mtu asieona umuhimu wa mapambano????

Ana ni mpambanaji na ameonesha kipaji sasa mkimuona kobe kainama mjue anatunga sheria, she will rise again watch and see! Siasa za chama nyie hamzijui ukicheza tu u will be reduced to nothing and you will remain silent forever no matter how much you yelll! Wangapi mnamsikia mpendazoe sasa?

Kurudi kwenye uchaguzi lets be objective (no haiting! No negativity)

sofia keshaongoza mda wake, awaachie wengine sio kujibinafsishia umoja kama mesi alivojibinafsishia tuzo ya mchezaji bora.

If she runs again its fine ila wapambe muaccount alichofanya na atakachofanya sio kuponda watu

kbwa zaidi ni rahisi kumuevaluate mtu ambaye utendaji wake umeonekana, kuliko kumjudge mtu kwa past yake ambayo haihusiani na hicho cheo thats judging and isnt fare

unaona sasa unavyopata tabu kumtetea?...ni bora mtu ujitanabaishe kuanzia siku ya kwanza kuwa wewe ni mnafiki...kuliko unajidai mzalendo halafu unafumbwa mdomo eti kuunusuru ubunge wako...
 
Said kulwa unajua fika Anna ni bora mara 10000000 kuliko Sofia, sasa bora Anna Anaongea kidogo kuliko Sofia ambae hajawhi kukosoa, ndo maan chama kimemshinda atakosoje wakati hataki kuonekana mbaya? Ukiwa mshauri wa Sofia mwambie Anna yupo fiti na hatishiwi NYAU kama madowans, rchmond na makila kitu alivyoufyata kimya bungeni aendelee hivohivo, mbona vinavomhusu akai kimya! Uchaguzi huu hashindwi na jimbo kuchukua must hizo stori za kushindwa toka 2005 tumezichoka sababu hazina nguvu ni some minor people wishes! Only in your dreams atapoteza jimbo!

Mkiwa wapiga debe wa Sofia semeni alichofanya sio kukalia ANNA ANNA ANNA Mmekubali ni tishio eeeh! HAMSEMI ALICHOFANYA MDA ALIOKAA SABABU HAKUNA LA KUSEMA!!!!

TIME FOR CHANGE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa thread hii ni dhahiri Sofia Simba maji yamemfika shingoni, sasa amekodi kundi la waganga njaa wamejaa facebook na hapa JF kueneza hizi porojo za kipuuzi ambazo kamwe hazikidhi viwango vya JF.

Kilichoandikwa kwenye thread hii kimepestiwa kwenye mitandao mingi sana. Ninachojiuliza ni kwa nini Sofia Simba anaweweseka hivi? au kwakuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa anajihakikishia Ubunge wa viti maalum akosi? Huyu hana jipya aondoke na Mzaramo mwenzake JK, Hawa ndio watu waliotuharibia nchi na matokeo yake nchi imegeuka kuwa ya Kiswahili swahili tu. piga chini huyo.

Hii nafasi alistahili kuwa nayo Janeth Kahama na siyo hawa wahuni wote wawili Anne Kilango na Sofia Siomba.
 
Wakuu!!!!!!!! UWT Wanaogombea ni magamba tuu? Kama jibu ni "ndio" tafadhali Toa huu uchafu hapa kabandike kwenye blog za ccm na kwenye notice board zao pale lumumba Kama jibu "hapana" mgombea wa CDM ni nani? Tumfanyie kampeni?
 
SOPHIA SIMBA MWENYEKITI UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA,NI KIONGOZI MAKINI ANAYEWEZA KUENDELEA KUWATETEA AKINA MAMA KATIKA TAIFA HILI,UMAKINI WAKE NA UBORA WAKE UNATOKANA NA MABO HAYA BAADHI TU
SOPHIA SIMBA MWENYEKITI WA UWT NDIYE MWASISI WA SERA YA VITI MAALUMU NDANI YA TAIFA HILI IKIWA NA MPANGO MKAKATI WA KUINUA WANAWAKE KISIASA,VITI MAALUMU VYOTE NDANI YA BUNGE LETU NI ZAO LA SOPHIA SIMBA

SOPHIA SIMBA NDIYE ALIYEIBUA UFISADI ALIOUFANYA MARIUM MAMUYA KUINGIA MKATABA FEKI NA AIRTEL WALIOJENGA JENGO LILEPALE MOROCCO

SOPHIA SIMBA AMEIMARISHA OFISI NA UMMOJA WA WANAWAKE KWENYE WILAYA MBALIMBALI HAPA NCHINI,AMEINGIA MKATABA NA NHC KUJENGA NYUMBA ZA MKOPO NA FUUUU KWAAJILI YA AKINA MAMA

AMEINGIA MKATABA NA PRIDE TANZANIA KUJENGA NYUMBA BABATI ARUSHA NA VIUNGA VYAKE KWAAJILI YA WANA WAKE

SOPHIA SIMBA NDIYE ALIYELETA MPANGO WA SACCOS KWA WANAWAKE WOTE KUANZIA NGAZI YA VIJIJ HADI TAIFA KWA MASHARTI NAFUUU,MPANGO HUO UMEPANGA KUNZA MAPEMA MWEZI WA 9

SOPHIA SIMBA ANATETEA KITI CHAKE KAMA MWEYEKITI WA UMOJA WAWANAWAKE TANZANIA NA WATU WALIOKOSA SIFA ZA UZALENDO ,UADILIFU NDANI YA TAIFA HILI..AMEKUWA KAIWASHINDA MARA KWA MARA KWENYE HIZI CHAGUZI.

Mfano wa watu wanaogombea na SOPHIA SIMBA ni hawa wawili kwanza
1.MARIUM MAMUYA
>Huyu anakashifa ya kuuza kiwanja cha UWT kile pale MOROCCO kwenye jengo la AIRTEL jijini DRA ES SALAAM.kiwanja kile kimenunuliwa toka kwa UWT chini ya marium mamuya akiwa kama katibu mkuu wa UWT kipindi hicho.Hii ni kashifa kubwa sana ndani ya taasisi kubwa kama UWT.Sophia simba amefichua ufisadi huo

Marium Mamuya amejikopesha fedha za UWT zaidi ya MILLION 121 za kitanzania,pesa hizo ameshalipa Tsh.Million 10 tu.
Marium mamuya ndiye katibu mkuu wa UWT aliyeuza nyumba za UWT jijini dar es salaam kwa mmiliki wa kampuni ya CASPI

2.ANA KILANGO MALECELA
Huyu ni mbunge wa SAME mashariki,

ANAUZAIFU mkubwa sana ndani ya jimbo lake,ameshindwa kupeleka kiwanda cha Tangawizi alichowaahidi wananchi wake,
Nguzo za umme hadi leo hazijasimama,Pia na kashfa ya kutumia wanaumme kuharibu ummoja wa wanawake jimboni kwake,na hata katika uchaguzi uliopita alitumia wanaume kuharibu uchaguzi ule lakini alishindwa.

ANA KILANGO MALECELA amekubali kuzibwa mdomo na pesa chafu za RICHMOND ndio maana hadi leo hii hawezi kuinua mdomo wake akazungumzia richmond.

Pia Anakashifa ya kukutwa na Million 200 zile alizopolwa na majambazi akielekea nazo kwenye uchaguzi kwa ajili ya kusambaza kwa wajumbe mwaka 2005.
KIMSINGI HAWEZI KUWA MWENYEKITI WA UMMOJA WA WANAWAKE,huyu mama ameshazimwa na pesa za richmond.
WAGOMBEA WENGINE NITAWATEA UCHAFUA WAO HAPA...UWT lazima iheshimike kama ilivyosasa

Umelipwa TShs ngapi kumpigia Sophia Simba debe?

Mbona yeye anampigia Lowassa debe waziwazi, Richmond wamempa shs ngapi? Mbona hana busara za kuwa kiongozi kwa maneno yake ya kihuni na kipuuzi, pamoja na ustaarabu wa kipwanipwani (nafikiri ninaeleweka) ambao sio sahihi kwa % kubwa ya jamii Wa-TZ?

Kama ni kiongozi bora mbona miaka yote anavizia kuteuliwa badala ya kwenda kugombea jimboni? Hajiamini au hachaguliki?

Hata kama Kilango na Mamuya wana mapungufu ni kwa kuwa hakuna mtimilifu. Katika mizani, wanamzidi Sophia Simba kwa mbali sana. Usihangaike kumpigia debe kwani hata akishinda, ni kwa mizengwe ya kawaida CCM. Hana vision yoyote ya kumuendeleza manamke wa Ki-Tanzania kwenye karne hii ya Technolojia.

Anyway, UWT is a dead institution along with CCM come 2015.
 
Kwa thread hii ni dhahiri Sofia Simba maji yamemfika shingoni, sasa amekodi kundi la waganga njaa wamejaa facebook na hapa JF kueneza hizi porojo za kipuuzi ambazo kamwe hazikidhi viwango vya JF.

Kilichoandikwa kwenye thread hii kimepestiwa kwenye mitandao mingi sana. Ninachojiuliza ni kwa nini Sofia Simba anaweweseka hivi? au kwakuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa anajihakikishia Ubunge wa viti maalum akosi? Huyu hana jipya aondoke na Mzaramo mwenzake JK, Hawa ndio watu waliotuharibia nchi na matokeo yake nchi imegeuka kuwa ya Kiswahili swahili tu. piga chini huyo.

Hii nafasi alistahili kuwa nayo Janeth Kahama na siyo hawa wahuni wote wawili Anne Kilango na Sofia Siomba.
Janeth kahama anatokea Chama gani? Au na yeye ni gamba?
 
unaona sasa unavyopata tabu kumtetea?...ni bora mtu ujitanabaishe kuanzia siku ya kwanza kuwa wewe ni mnafiki...kuliko unajidai mzalendo halafu unafumbwa mdomo eti kuunusuru ubunge wako...

NAONA UMEJINGA JF KUFANYA COMPIGN! KARIBU

Narudia heri nusu shari kuliko shari kamili, Anna alichokuwa anataka kukisema alikisema mkasia, kiliwachoma na ndo maana mnamuogopa hata kwenye kiuchaguzi hiki,

Lazma Aatete ubunge ndio, ukiwa mpambanaji lazima uwe samrt, ubunge ndo unampa audiance ya kusikilizwa sasa ulitaka akinyanganywa ubunge akapambane saluni? Anna is very smart ukweli kawapasha, ubunge hamkumnyanganya na wenyekiti anachukua.

Kumbuka Mr. alikuwa anapita bila kupingwa ( i guess uongozi upo kwenye familia) so chama tunakijua sie.

Jst for a change sema japo kidogo Sofia kafanya nini awamu yote aliyoongoza?

Ujue umekuja kumpa sifa Sofia ila unampa chati Anna bila kujiua
 
mawazo yako peke yako ndio sahihi waliobaki wote wana njaa
Wote tuna njaa lakini tunastahamili, wewe huoni kazi uliyotumwa kwamba haitelezeki? kwanza humu unapoteza muda wako bure wapiga kura wenyewe watakaopiga kura wengi wao hawajui hata Internet ni kitu gani, na sifa kuu ya mgombea ni yule atakayetoa rushwa zaidi. so don't waste ur time here na kujidhalilisha pasi na sababu.
 
matusi hayasaidii kuonyesha kiwango cha uelewa na utashi wako mkuu...

nilipoandika nilijua kuna watu kama wewe wataoleta busara hata wakati upuuzi uko live

ndio maana tupo hapa tulipo leo, unataka nisifie upuuzi??? niambie the burden ya nchi simply because of politics, hebu niambie faida hata moja ya jumuiya za ccm au chadema au kafu zaidi ya perepete za propaganda.... we can do without hizo takataka
 
Kubwa zima hata aibu huna, unafunguwa ID mpya kisa Sofia Simba!! Pumbavu kabisa.

user-online.png
said kulwa

Today 02:44
#21
Member Array

Join Date : 7th August 2012

Posts : 15
Rep Power : 304
Likes Received4
Likes Given4
 
Ni chaguzi za ndani za Jumuiya ya CCM, hii ilikuwa inaitwa UWT zamani wakati enzi ya chama kimoja lakini sasa hivi jumuiya hii haina uhalali wa kuendelea kuitwa UWT.
Asante sana kwa ufafanuzi mkuu!!!! Sasa naona Kama wanajitesa vile kwasababu 2015 UWT hakita tambulika tena kitaifa kwani ccm itakuwa Chama pinzani dhaifu
 
Back
Top Bottom