Uenyekiti CCM: Jakaya Kikwete imetosha!

Status
Not open for further replies.
Ukweli ni kwamba:

He is the very wrong person for that post.Not only as the chairman but also as the president.
 
Mr.Andrew Nyerere i respect your views,
Infact what you are delivering here is good,put it action bro,nafaham namna unaumwa kwa sababu sheria za chama na za nchi hazizingatiwi,unakerwa na ungependa mabadiliko yakifanyika ktk chama chako.Nafahamu kuwa umekuja hapa ukiamini wanajamvi tunaweza kuwa na maoni zaidi,niklipouliza suala la katiba inasemaje kuhusu Mwenyekiti kuchaguliwa ama kuridhishwa na kiongozi mtangulizi(Rais),as long umesema katiba inaruhusu GO mkuu kwa betterment of your Party.
 
Yangekuwa hayo mambo yapo CCM Lowasa angeweza kumng'owa JK kwenye Uenyekiti, lakini ukweli kwamba CCM ngazi ya Taifa huwa hakuna uchaguzi bali ku endorse Mwenyekiti ili aunde Sekretariet yake.

Lakini kuna maneno ya chini chini kwamba kikwete anamuunga mkono lowasa, baada ya kugundua kwamba watu wake anaowaandaa kumrithi-membe na migiro wamezidiwa ujanja na kowasa kwahiyo amejaribu kurudisha urafiki wao ili asije akashughulikiwa huko mbeleni.
 
Ndugu yangu utaratibu wa Uchaguzi wa Mwenyekiti mwezi ujao unaufahamu, kwa nini hukugombea?
Kama Nyerere 1964 aliviua vyama vyote vya Siasa na akawa amagombea yeye peke yake kwa kuweka picha yake na kivuli au mwaka 1975 alipoweka Nyumba na Jembe mbona hakuambiwa ajiuzulu?
Nakushauri gombea sio kumuambia ajiuzulu wakati anatumia Demokrasia yake na Wapiga kura wa Mkutano Mkuu wapo wanasubiri kumpa kura hiyto Novemba 12 Mjini Dodoma

Wewe hukuiona heading niliyoiweka katika hii posting,''Nataka kwenda Dodoma kumgaragaza Jakaya Kikwete'',lakini mod. katika 'hekima' yake ameibadili,imekuwa ''Jakaya imetosha.'' It is what they call 'censoring' of The Press.[I call it the Jewish Conspiracy]
 
Hivi imekuwaje Andrew Nyerere yaani katika Post zote ulizopost hii wamekupostia naona uliiacha Computer yako wazi wakaijaza walipoiona Avater yako ndio maana kwa Hekima Mods wakaisahihisha. Kama unataka kumgalagaza humu JF sawa lakini Ukumbini KIZOTA umechelewa maana fomu zilishauzwa zamani na kutolewa na Katibu mkuu Hebu mtafute Mura mmoja anaitwa Mukama akuelezee ni namna gani unaweza gombea tena 2017 miaka 5 ijayo
 
Kikwete ni perfect. In fact,he is too good to be true. Idea kwamba atabakia katika uongozi baada ya Urais wake kwisha ni unacceptable kwangu. Whatever good he was planning to do for the people he has already done it. Tanzania lazima isaidiwe na Watanzania, You just need to put the right team in action. Mwalimu Nyerere aliachia uongozi wa Chama kwa vile ilikuwa inaonekana kwamba Chama hakina ''ulaji'',watu wote walikuwa wanataka kufanya kazi Serkalini. But that is no longer the case. Watafunaji wakubwa wa nchi wako katika Chama siku hizi. Kwa hiyo hakuna sababu ya Kikwete kuendelea kuwa CCM Chairman.

Kwa nini unataka kugombea uenyekiti wa CCM?
 
Hivi wanafanya uchaguzi wa MWENYEKITI au sherehe ya MWENYEKITI kufikisha miaka mitano ya uongozi wa chama?.
 
hoja ni nzuri sana na tunakoelekea kuna ulazima mkubwa sana wa chama kitakachoshinda Uraisi basi huyo raisi asiwe kiongozi kwa upande wa chama atakachotoka na ingekuwa hivyo kwa CCM leo hii huyo ambaye angekuwa mwenyekiti wa chama tawala alishamwajibisha raisi wa nchi na tungekuwa mbali na mifano ipo hata Africa kusini iliwezekana
 
Ndugu yangu Andrew Nyerere kama kumbukumbu zangu bado ziko vizuri mzee wako baba wa taifa Mwalimu Nyerere ndiye aliasisi huu utaratibu wa kiongozi wa serikali (Raisi) vile vile kuwa mwenyekiti wa chama chenu, na hoja yake ilikuwa ni kuwa na kiongozi mmoja mwenye mamlaka ya kuendesha serikali na chama.

Na alifanya hivyo akiweka angalizo kwamba kukiwa na wakuu wawili katika nchi, mmoja akiongoza serikali na mwingijne akiongoza chama, itakapotokea watu hao wameshindwa kuelewana basi kuna uwezekano mkubwa kutokea vurugu katika nchi.

Sasa leo unapokuja na hoja hii, je umetazama kwa undani faida na hasara za Kikwete ku step down? na unadhani ccm mtaweka utaratibu gani ambao utahakikisha kwamba raisi na mwenyekiti wa ccm hawakosani, kwamba isije ikatokea mwenyekiti wa chama anaamua kumfutia uanachama raisi kama wameshindwa kuelewana?

Mbona obama siyo mkiti wa Demokrat lakini ni Rais na hawagombani na bosi wake? Mimi nadhani inawezekana. Sema mleta mada hajafunguka. Angesema mtandao wake uko tayari kupimana nguvu na JK baada ya kupata wajumbe wa kutosha kwenye uchaguzi huu, mimi ningemwelewe. Angeweza pia kusema mkiti wa mtandao wake ni nani na mgombea wao ni nani?
 
Wewe hukuiona heading niliyoiweka katika hii posting,''Nataka kwenda Dodoma kumgaragaza Jakaya Kikwete'',lakini mod. katika 'hekima' yake ameibadili,imekuwa ''Jakaya imetosha.'' It is what they call 'censoring' of The Press.[I call it the Jewish Conspiracy]

Kiongozi makinini yule anayejali maslahi ya umma kwa ujmla sasa nachoweza kukueleza kumwondoa mwenyekiti wako pale KIZOTA nenda kajenge hoja nzito then omba kuwasilisha kwa wajumbe na ukitoa fact,, za kutosha ili JK aondolewe na chama kwa kupiga kura ya ndio nyingi lakini kumbuka tayari TISS Wamejipanga kuhakikisha wanaondoa choko choko yeyote hile itakayotokewa ndugu yangu Andrew Nyerere. sina mengi
 
Hii posti ni yangu. I want to put my CCM Hatton,nataka kuvaa kofia yngu ya CCM niende kumgaragaza Jakaya Kikwete.
 
Kwa waliopata habari za ndani za NEC watajua anachokiongea Andrew ni nini, tatizo hataki kufunguka zaidi!
 
na mifano ipo hata Africa kusini iliwezekana
Hii ya Afrika kusini naona mnaipotosha. Zuma ndiye rais wa nchi na pia ndiye rais wa ANC

Kilichofanyika 2008 ni kwamba, mfano sasa hivi Zuma anajiandaa kugombea urais kwa muhula wa pili 2014 lakini uchaguzi wa chama unafanyika mwaka huu mwezi Desemba. Sasa badala ya kumchagua Zuma kama utamaduni ulivyo, labda watamchagua Kgalema Motlanthe au Tokyo Sexwale
awe rais wa ANC. Automatically itabidi Zuma ajiuzulu urais Mbeki style. Yaani mwaka kesho mpaka 2014 kuna hatihati Afrika kusini wakawa na rais wa mpito(acting president). Isipokuwa tu Zuma kichwa ngumu anaweza akang'ang'ania mpaka muhula wake utakapoisha hata kama itamaanisha fedheha

Huwezi kuwa rais kama siyo kiongozi wa chama. Kiongozi wa chama atakuendesha kama gari bovu
 
Madaraka matamu sidhani kama ilo litawezekana nashauri EL achuane naye kwenye uchaguzi ujao!
 
Kikwete ni perfect. In fact,he is too good to be true. Idea kwamba atabakia katika uongozi baada ya Urais wake kwisha ni unacceptable kwangu. Whatever good he was planning to do for the people he has already done it. Tanzania lazima isaidiwe na Watanzania, You just need to put the right team in action. Mwalimu Nyerere aliachia uongozi wa Chama kwa vile ilikuwa inaonekana kwamba Chama hakina ''ulaji'',watu wote walikuwa wanataka kufanya kazi Serkalini. But that is no longer the case. Watafunaji wakubwa wa nchi wako katika Chama siku hizi. Kwa hiyo hakuna sababu ya Kikwete kuendelea kuwa CCM Chairman.

Brother Andrew,

Whatever you have been eating and drinking today kindly share with us........must be a good meal!
 
Hii ya Afrika kusini naona mnaipotosha. Zuma ndiye rais wa nchi na pia ndiye rais wa ANC

Kilichofanyika 2008 ni kwamba, mfano sasa hivi Zuma anajiandaa kugombea urais kwa muhula wa pili 2014 lakini uchaguzi wa chama unafanyika mwaka huu mwezi Desemba. Sasa badala ya kumchagua Zuma kama utamaduni ulivyo, labda watamchagua Kgalema Motlanthe au Tokyo Sexwale
awe rais wa ANC. Automatically itabidi Zuma ajiuzulu urais Mbeki style. Yaani mwaka kesho mpaka 2014 kuna hatihati Afrika kusini wakawa na rais wa mpito(acting president). Isipokuwa tu Zuma kichwa maji anaweza akang'ang'ania mpaka muhula wake utakapoisha hata kama itamaanisha fedheha

Huwezi kuwa rais kama siyo kiongozi wa chama. Kiongozi wa chama atakuendesha kama gari bovu

Kwa hiyo unamshauri nini Dr. Slaa?
 
Kwa hiyo unamshauri nini Dr. Slaa?

Hahaha natarajia CHADEMA walione hilo na walifanyie kazi kwenye chaguzi hizi

Hata hiyo ukimwacha pandikizi ZZK, CHADEMA bado haijaonesha factionalism. Kuna uwezekano Mbowe akaendelea kuwa subservient to Dr. Slaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom