Mkuu Ntuzu unaichambua soka mpaka nafurahi, sio kiunazi kama wengine. Japo mimi ni mdau wa Man U lakini kwa mwaka huu natabiri Barca na Bayern kufika mbali.Man City ni timu ya EPL Na FA tu huko kwenye UCL Bado ni wachanga sn! Arsenal uzoefu Wa UCL wanao wakiwa wamefika final Mwaka 2006 na Barc Lkn Bado hawana timu ya kuweza mikiki sn ya UCL! Barc Na Munich watafika mbali sn! Kwa England tuitegemee Chelsea na Man Utd ktk haya mashindano!
Lkn mpk sasa Hali ilivyo Man City na Arsenal zimeshatolew! Kwasababu ata km watakutana tena na city na arsenal wakashinda Lkn Barc na Munich Lazima watapata ata goli Moja! Hapo ndio ile sheria yetu ya Agregate ndo inafanya kz vibaya sn!
Poleni sn City na Guners!
Zina nini?Yaani hizo Red na Penalt
Hata mimi nashangaa sana kwani huyu OZIL anatamba tu mechi ndogo ndogo akipangwa mechi za miamba wanaujua kusakata kabumbu anawekwa mfukoni kama kadi ya refarii. Haoni mastaa wenzake wanavyong'ara mechi zote.
Mkuu huyu Sizinga nimemsamehe kwa kuwa amegundua kosa lake. Hapa hatupapasi soka bali tunalichambua soka kwa ukweli wake sio unazi tu, kwani kila mtu ameona mtu alivyoteswa jana sasa yeye analeta suala la eti fulani ameonewa, haelewekii...
Mkuu Ntuzu unaichambua soka mpaka nafurahi, sio kiunazi kama wengine. Japo mimi ni mdau wa Man U lakini kwa mwaka huu natabiri Barca na Bayern kufika mbali.
Hao wameshatolewa warudi England kugombea makombe ya EPL na FA tu.
Una maana hizo fouls 16 alifanya mtu mmoja? Kufanya fouls nyingi kwa timu mchezoni ni mambo ya kawaida na wala haiwezikugeuka kuwa red card, ungeniambia hizo zote amefanya mtu mmoja halafu refa akabakia kumuonya kwa maneno tu.kwa maelezo yako na kwa takwimu hizi hapa chini aliyerudia rudia kpliziwa kipenga bila kupewa kadi ninani
?
Mkuu Ntuzu unaichambua soka mpaka nafurahi, sio kiunazi kama wengine. Japo mimi ni mdau wa Man U lakini kwa mwaka huu natabiri Barca na Bayern kufika mbali.
Hao wameshatolewa warudi England kugombea makombe ya EPL na FA tu.
Yani Huyo Ozil ni Wa kupeleka kwa mkopo QPR ili Akili zimsogee!
Alaaah kumbe Ntuzu ameongea kweli tupu, haya mimi nimekukosea wapi au kufungwa bado kunauma? Hilo na OZIL nalo umelikubali?wewe grafani mnazi na mshabiki usieweza kuanalyse mambo bali ushabiki usio na upeo.
Ntuzu anaongea ukweli I agree.
Yani Huyo Ozil ni Wa kupeleka kwa mkopo QPR ili Akili zimsogee!
Mkuu ndiyo maana nikasema kwa England timu yenye uzoefu na UCL ni Man U, na mkuu ukaniongezea na Chelsea thing that I do agree.Mkuu ata Man Utd usiwabeze! Kwakua hawana nafasi ya kucheza UCL next season Na kombe ambalo wako na nafasi ni UCL! Sasa ili kujiweka kwenye nafasi ya kucheza UCL next Lazima wachukue UCL cup! Kwahiyo man Utd wakafa na Hilo kombe hasa ukiangalia ratiba za game jinsi zilivyo!
Una maana hizo fouls 16 alifanya mtu mmoja? Kufanya fouls nyingi kwa timu mchezoni ni mambo ya kawaida na wala haiwezikugeuka kuwa red card, ungeniambia hizo zote amefanya mtu mmoja halafu refa akabakia kumuonya kwa maneno tu.
Wewe unaweza kufanya foul moja tu na ikawa na madhara makubwa kwa mwenzako kuliko hizo 16.
Alaaah kumbe Ntuzu ameongea kweli tupu, haya mimi nimekukosea wapi au kufungwa bado kunauma? Hilo na OZIL nalo umelikubali?
Kadi waliopewa ni hawa hapa, je kati ya hao ni nani alirudia rudia kama sio boateng?
[TABLE="class: no-borders h2h, width: 0"]
[TR="class: subheader border-top"]
[TH="colspan: 2"]Yellow Cards[/TH]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: no-borders h2h, width: 0"]
[TR]
[TD]Yaya Sanogo (55')[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tomas Rosicky (86')[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: no-borders h2h, width: 0"]
[TR]
[TD="align: right"]Jerome Boateng (8')[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]Mario Mandzukic (45 + 2')[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: no-borders h2h, width: 0"]
[TR="class: subheader border-top"]
[TH="colspan: 2"]Red Cards[/TH]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: no-borders h2h, width: 0"]
[TR]
[TD]Wojciech Szczesny (37')[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkuu,kuna fouls zina warranty straight yellow kama shirt pulling,intentional foul ndogo ndogo kama tripping opponents....unintentional fouls mara nyingi hazisababishi card unless ni consistent fouling inafanyika na mchezaji mmoja na mara nyingi kabla ya kutoa card utaona refa ana-point occassions ambazo mchezaji amecheza fouls.
Red card ya kipa wa Arsenal ni sahihi kabisa,amcheza professional foul as a result HE DENIED GOAL SCORING OPPORTUNITY,on the other hand Boateng foul haikuwa CLEAR GOAL SCORING OPPORTUNITY kwasababu kulikuwa na mabeki wengine wa Bayern karibu na goli.
kuhusu faulo 16 za bayern na 8 za Arsenal hazina reflection ya yellow cards kwa sababu ya nature ya faulo zenyewe, faulo 16 zinaweza kuwa zimesababishwa na wachezaji 8 au 9 wakati faulo 8 zinaweza kuwa za wachezaji wawili tu hivyo kusababisha yellow card 2 na faulo 16 kusababisha yellow card 1
Unaweza kucheza faulo moja tu na ukapata yellow card au red straighr iwapo utamvuta shati mpinzani au kumwangusha mpinzani anaeenda kufunga respectively.
Hizi zimechukuliwa baada ya dakika ya ngapi.....unafikiri timu zote zingekua 11 kwa 11 wachezaji matokeo yangekuaje siongei ushabiki hapa naongea mpira....
Nitashangaa sana.
La mkuu nashukuru kwa maelezo, lakini
hakuna sehemu yoyote niliyopinga kadi nyekundu
hakuna sehemu yoyote niliposema mchezaji flani apate kadi nyekundu
Pili
Nimekuwa najaribu kuweka sawa maelezo ya mhusika ninayemjibu
katika hizo faul 8 kwa 16 mnadhani kimsingi wingi wa madhambi au filimbi unaashiria nini?
aliongelea kusukuma na kutumia mwili bila kuhatarisha usalama wa mwingine, hapo nikasema je ushika kwanini upewe kadi? wakati hujauumiza?
idadi ya madhambi inaashiria pia kutokuwa makini kwa refa, maana professinal faul huwa nikidogo lakini kesha wahalibia move, na mwishowe kufungwa.
katika machezaji 11 wa bayarn faul 16 ina maana kuna wachezaji kwa uchache 3wamefanya faulo zaid ya mara tatu.....
Kupuliza filimbi mara 16 kunaashiria jambo flani, maana hoja ikaletwa kwamba walirudiarudia nimeuliza kwa asernal ninani
alirudia rudia? au sio kwamba nawao ni mara moja moja na lakini beyarn wametwanga twice as much ????
Swalaam swahiba, huyo Ozil msimu underestimate
Ozil ana mental Capacity kubwa ya kuweza kufanya maamuzi uwanjani.
Tatizo ni physical fittness ndo ndogo sana.
Despite kukosa penat jana hakua chaguo la kukaa bench.Na bayern ni level nyingine!!! hata TEAM LALIGA wote wanajua
Ozil will Ozil Arsenal.
Ntuzu Amekosea pale alipombeza Ozil, hapa kakosea sana.
Nikweli jana hakufanya vizuri lakini Ozil ni mchezaji wa hadhi ya kipekee/yajuu sana, na hapa Ntuzu amenifanya
niwenamashaka pia akawa mshabiki kama wewe unayedakia dakia tu bila ushahidi wowote.
tuko pamoja
kupewa kadi sio lazima umuumize mpinzani,tafadhali elewa hilo.kufanya faulo makusudi hata mtu asipoumia lazima upewe kadi,rangi ya kadi itategemea na eneo ulilofanyia kadi na situation.
pili,faulo 16 za arsenal sina uhakika nani alirudia au la,lakini naweza kukuelezea kadi mbili za njano kwa nini zilitolewa... moja ya SANOGO he lunged into the goalkeeper very late,he could have avoided him, ya pili ROSCISKY he fouled Bayern player intentionally after losing the ball and realizing the imminent danger,kama utakumbuka vizuri imediately after that he played another stupid foul which on another day he could have a second yellow but ref waived it
kwahio yellow za arsenal ni sahihi kabisa kama zile za bayern,wether kuna jambo lingine kwenye faulo 8/16 sijui unasema nini
kumbuka Chelsea wakiwa 10-man na 2-0 behind against Barcelona......wakarudisha magoli yote ndani ya NOU CAMP
CC: Ntuzu