Aibu yao wenyewe Nou CampJamani kuna siku nilishawaambia washibiki wa Barcelona hapa hawana timu inabidi wajipange upya tena, beki hakuna kabisa, midfield haina pace tena Xavi Hernandez ameshachoka; Sasa ona aibu kama hii jamani Champion League mtu unapigwa nne ubuyu. Ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Fainali Bayern Munich na Real Madrid na nilishaongea haya mapema kwa wenye kumbukumbu....Raha sana leo....aibu yetu ...aibu yaooo?.....Ha ha ha ha ha ha ha
Messi akiingia tu yatarudi yoote hayo...
sijui itajirudia ya ac milan
Tuheshimiane tafadhali, achana na Yanga yetu!Barca leo wameona the true colours. Ni muda mrefu sana nimeangalia mechi huku barca wakicheza kama yanga.
sijui itajirudia ya ac milan
Messi huyu au mwingine?
Messi huyu au mwingine?
ndipo nitaamini maajabu ya mpira..that is ANAL RAPE mkuu!
Barca leo wameona the true colours. Ni muda mrefu sana nimeangalia mechi huku barca wakicheza kama yanga.
Swahiba wangu Gutierez najua leo upo jukwaani kama guest,ngoja nikuimbie kale ka wimbo ka Marijani Rajabu,"MAATESO MAATESO MAATESO YAMEZIDI NACHOKA AH!POLE MAMAA KWA TABU UNAZOZIPATAA LAKINI KWANZAA USICHUKUE UAMUZI HUO MAMAA,MIMI NA WAZAZI WAKE TUTAMUITA "BAYERN" TUMKANYEE IKISHINDIKANAA MIMI NITAKUWA SHAHIDI WA KIFO CHAKO MAMAAA!