Nilijibu hivi coz kunawatu humu last time wakati walipokwenda italy walisema hawana plan B, sasa naona wapapprecite kuwwa Barca inaplan nyingi sana za ushindi. well done my team, Mes Que un clubwewe hebu acha ulevi.. barca wanatoka kirahisi? hawashindi?..lini hiyo ilitokea?..tuondolee ulevi wako maeneo haya...
mkuu unashindanisha tofauti ya ligi wanazocheza au unashindanisha vipaji vyao na kama hiyo ndio point unayotoa jee hilo fifa wao hawalioni na hizo record messi anazo zivunja fifa wanazikubali au hawazikubali na kwanini apewe tunzo yeye tu kwa miaka yenye kufufuliza je kuna upendeleo flani na kama kuna upendeleo kwa mantiki gani hasa. mii naona fifa wanajua
vigenzo vya mchezaji bora kuliko mimi na wewe na wakisha amua ndio inakua sahihi
.View attachment 86919
View attachment 86917 View attachment 86918
Nilikuwa nataka semi final kuwe na Juventus,Real Madrid,Barca na Bayern
Barca ashapewa tiketi ya fainali..sioni wa kumsimisha hapa...
Malaga v Borussia Dortmund.
Real Madrid v Galatasary.
Paris Saint Germain v Barcelona.
Bayern Munich v Juventus.