Safi sana Inter...hahaaaaaaaaaaaa,ukuta wa Inter ni kiboko...Mourinho ni kiboko....Kiungo cha Inter ni kiboko....yaani wote walirudi kulinda goli...mpaka Eto'o........Refa pamoja na kuwapa Barca goli la offside ya wazi lakini ngoma imewaangukia Barca doro.........Pole FL1