UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
porto hao noma hawatabiriki cha kumuomba hapa wenger alete striker lakini kama kama mbele tutaendelea kuwa hivi tulivyo sasa hivi watu wanaenda half time na one shot on goal kazi itakuwa nzito.
 
....isipokuwa timu ya comrade Belo.......!
mkuu kipindi hicho hapo ndio tutajua fatigue ni nini,hapa ndio wenger anapo changanyikiwa mwisho wake analikoroga kabisa.na safiri hii kipindi tunacheza na porto ndio weekends tunakutana na zile mechi nne kali tulizopangiwa.hapa ndio umuhimu wa depth ya squad kama mimi wenger ningeongeza hata wacheza wawili au watatu.
 
Hatua ya kupata timu mchekea imepita....last 16 si mchezo.
Sidhani kama kuna mwenye hakika ya kupenya
.
Of course except for Man U....lazima Becks arudi LA Galaxy!🙂
 
hivi nyie UEFA mnatutakia nini watoto wa wenzenu...Kisa cha kutupanga na Inter??
 
goalkeeper ni Nelson Dida
Fullbeck right ni massimo Oddo
fullbeck left ni Gianluca Zambrotta
Halfbeck four ni thiago silva
Na sentahafu ni Alesandro nesta
Halfbeck six ni andreas pirlo
right wing ni david beckham
captain ni massimo ambrosini
Center foward allesandro pato
Inside ten dinho
Left wing ni cralence sEedorf
 
Milan alishawahi kumpiga Manure nyumbani 1-0 na ugenini 1-0 magoli yote yakifungwa na Hernan Crespo.
Ktk mechi hizi mbili kiungo Manuel Cesar Rui-costa alikuwa tatizo lisilosuluhika kwa timu ya manchester....

Pia milan akaja kutana na manure tena na old trafold man alishinda 3-2 kwa taaaabu huku magoli ya Milan yakifungwa Ricardo Kaka.
Cha kushangaza ktk mechi hii mpira ulipokwisha pmj na kufungwa wachezaji wa Rosonelli waliondoka huku wanakumbatiana na kupongezana kwa furaha.
Ile hali wachezaji wa manure walioshinda waliondoka vichwa chini huku kocha wao sir Alex akiwa mwekundu na machozi yakimlenga lenga...

KWA NINI ILIKUWA HIVI...
Ni wazi kuwa wachezaji, kocha na washabiki wenye utimamu wa akili walishajua kuwa pmj na ushindi lakini wameshatoka kwani iliwalazimu kusafiri kuelekea carvary Sansiro ama machinjioni.
Ambako matokeo yake walikula goli 3-0 na kutupwa nje ya mashindano.
Magoli ya milan yaliwekwa kimiani na Kaka, Seerdolf na mshambuliaji alberto gilardino.
Hivyo ni wazi kuwa Manchester kwa AC Milan ni kama ........... kwa ...............

Forza Milan
 
Kiwango kaka, kiwangoooooo........,

hiyo milan unayoizungumzia ilikuwa iko juu sana, milan ya sasahivi imechooooka,

we unadhani kiwango cha beckham, dinho na seerdorf miaka mitatu iliyopita ni sawa na sasahivi?

we subri uone mani yuu itakavyoisulubu milan kuanzia san siro na hatimaye kuja kumaliza kazi old trafodish.

halafu baada ya hapo mani yuu wanawasubiri ze ganaz robo fainali!!!!!
 
Tatizo sio Milan wamechoka ,historia ni mmbaya kwa Man U dhidi ya Milan.Ni sawa na Madrid akikutana na Juventus
 
Tatizo sio Milan wamechoka ,historia ni mmbaya kwa Man U dhidi ya Milan.Ni sawa na Madrid akikutana na Juventus

Belo umenena vyema swahiba wangu...
Tena umetoa mfano mzuri wa Madrid kwa juve.
Hao milan ambao watu wanasema wamechoka huwa wanakuwa hatari saana ktk mashindano haya....dah i wish game iwe kesho
 
Kiwango kaka, kiwangoooooo........,

hiyo milan unayoizungumzia ilikuwa iko juu sana, milan ya sasahivi imechooooka,

we unadhani kiwango cha beckham, dinho na seerdorf miaka mitatu iliyopita ni sawa na sasahivi?

we subri uone mani yuu itakavyoisulubu milan kuanzia san siro na hatimaye kuja kumaliza kazi old trafodish.

halafu baada ya hapo mani yuu wanawasubiri ze ganaz robo fainali!!!!!

ronaldo de assis ama anavyofahamika kwa jina la ronaldinho Gaucho ni wazi kuwa amezaliwa upya na kila kocha duniani mwenye kutaka mafanikio ni dhahiri kuwa angependa dinho awepo ktk kikosi chake.

Clarence seeldorf ama kwa hakika sihitaji kumzungumzia coz ulimwengu mzima unajua kuwa huyu bwana ni kama simba dume ambalo huwa halizeheki meno.

Becks tutakachohitaji toka kwake ni cross ambazo zitakwenda kutua kichwani mwa Pato au Boriello au Pippo.

Kumbuka kutakuwa na sungusungu watakaokuwa wanaendesha msako pale ktkt kama Rhino Genaro Gattuso, {c} Massimo Ambro, Andrea Pirlo, na Mathew Flamini.

Wizara ya ulinzi itaongozwa na generali Nesta sentahafu anayeaminika kuwa bora kwa sasa ulimwenguni na ndie beki aliyedumu ktk kiwango kwa muda mrefu zaidi...

Swali nakuachia...
endapo milan watapata freekick then pale kwenye mpira wamesimama Pirlo, Dinho na beckham je ungependa nani afunge?
 
na tuliwaonyesha kuwa Milan sio kama mnavyoi judge iliweza kuibamiza goli 3 klabu ambayo mnaipa heshima ya juu eti tu kisa imefanya usajili wa mamilioni ya pesa na kukusanya kila aina ya nyota.

Na ukumbuke kipigo hicho kilitokea el santiago bernabeu pale pale.
Na hao konokono wote walikuwepo.,,

Sforza Milan
 
naona mzee unacheza mpira kwenye key-board!utakuwa arsenal wewe!😀
 
akhahahah..akhenato na uswazii...IPO KAZI MZAZIIII....maneno mengi hayana faida...kama kweli wao wavuvi...tukutane mwambani...MAN U..forever
 
joe-mourinho_1546127c.jpg

I'll be back: Jose Mourinho may take his Inter side back to Old Trafford to face Manchester United or Arsenal after elimating his former club Chelsea

uefa-champions-league-trophy.jpg

Arsenal, Bayern, CSKA Moscow, Girondins, Inter, Manchester United and Olympique Lyon are the clubs that Barça could be paired with in the draw for the Champions League, which will take place in Nyon on Friday

Arsenal
The young and talented side managed by Arsene Wenger are a regular feature of the latter stages of the Champions League and in 2006 met Barça in the final in Paris. There are few survivors of that game, but the attacking style of play is the same. They are the leading goalscorers in the tournament so far with 18 goals. Led by Barça youth product Cesc Fàbregas, they are enjoying their strongest spell of the season and are still in the Premiership title race along with Manchester United and Chelsea. They thrashed Porto 5-0 at the Emirates.

Bayern Munich
Coached by former Barça manager Louis Van Gaal, Bayern have a solid block of players that are keen to establish the side as one o the strongest in Europe. The Bavarians have two first class wingers in Ribery and Robben. They are also on the rise and haven't lost in 18 outings and are leading a very competitive Bundesliga. They qualified for the round by beating Fiorentina on away goals.

CSKA Moscow

The 2005 UEFA Cup winners are, like Zenit Saint Petersburg and Shakhtar Donetsk, another of the clubs from the former Soviet Union that have had such an impact on European football of late. The club, managed by Leonid Slutski, has managed to hold onto the stars that have brought them so much success, including Chilean Mark González and Serbian Milos Krasic. Against Sevilla in the previous round, they showed the world what they are capable of doing.

Girondins Bordeaux
Former Laurent Blanc has managed to bring the same elegant football out of his players that he displayed himself as a defender. After finally ending Olympique's domination of the French championship, they are now seeking a place in the continental elite. They play excellent combination football that has often been compared to that of Barça, and youngsters Gourcuff and Chamakh are the latest sensations in France. And in defence they have a startling record: they have only conceded three goals in the Champions league this season.

Inter Milan
Barça met this side in the group stages, and the Italians have now gone and eliminated one of the favourites, Chelsea, in José Mourinho's triumphant return to Stamford Bridge. The Portuguese maestro has inflicted his winning mentality on the team, which is once again top of Serie A. This side has seen more yellow cards than any other (22), but can also play quality football. The neroazzuri have a top class squad, all the way from goalkeeper Julio César to creative midfielder Snejder and the lethal Eto'o up front.

Manchester United The Red Devils are among the favourites as usual, and last year became the first team in fifteen years to make the final twice in a row. Sir Alex Ferguson once again has a beautifully streamlined team, even without Cristiano Ronaldo, and in Rooney has, along with Messi, one of the two most in-form strikers in the world, as he showed in United's convincing win against the mighty AC Milan.

Olympique Lyon

Not many pundits had Lyon down as potential quarter finalists. Without stars like Juninho and Benzema they no longer dominate Ligue 1 as they did for so many years, but they have progressed by beating such sides as Liverpool and Real Madrid. They may lack the sparkle of recent years, but still have a compact team with enough firepower in attack. Pjanic, Gomis, Lisandro López and César Delgado are all capable of causing damage.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom