Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,470
- 5,050
Napoli wana samba yao moja ya kasi, sidhani kama Barca watapata nafasi ya kupumua kwa pasi fupi fupi.Mechi ngumu apo no Napoli vs Barcelona
Kama unawajua Napoli utaelewa namaanisha nini. Hiyo ni mechi nzito sana
Sent using Jamii Forums mobile app