Maajabu ya wachezaji kutoka Croatia!!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
For the Superstitious!!

Since 2013 all the teams that have won the UEFA Champions League had a Croatian player in their Squad.


2013
Bayern Munich - Mario Mandzukic

2014
Real Madrid - Luka Modric

2015
Barcelona- Ivan Rakitic

2016/2017/2018
Real Madrid - Luka Modric

2019
Liverpool - Dejan Lovren

2020
Bayern Munich - Ivan Perisic

2021
Chelsea - Mateo Kovacic

2022
Real Madrid- Luka Modric

2023*
Inter Milan- Marcelo Brozovic -

Manchester City none
#radioshamasports

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Timu MwakaRonaldo katika kitu kinawauma mno ni WC 2022
Mara ooooh VAR, sijui ilipangwa wabebe kombe, kulikua na teams more than 30 kwenye WC wakuu wakubali tu Argentina alioambana kiume toka mwanzo mpaka mwisho.
Uliona shangwe la mechi aliyofungwa na waarabu? Sasa walidhani itakua vile mpaka mashindano yanaisha.
 
Croatia wanatimu nzuri sana Argentumima walisukumiwa moo washukuru VAR na mbeleko...Team imefika fainall 2018 world cup na imefika nafasi ya 3(Nusu fainal) 2022 WC jamaa wanateam bwana

Livakovic aliambiwa amchezee Alvarez rafu ndani ya box?

Mtu anatoka kuanzia katikati ya uwanja mpaka anafunga nayo beki waliimbiwa wafanye hivo?

Girvadol naye aliambiwa amwachie Messi ili atoe assist ya goal la 3??

Croatia walizidiwa mbinu na walijaa kwenye mfumo wa Argentina ndomana hawakuwa na madhara kwa Argentina. Uliangalia match au ulihadithiwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom