UEFA Champions league - 16 knock out stage, mechi kali kuliko zote ni Real madrid vs Manchester city

Mancity watapigwa nje ndani chelsea pia atapigwa nje ndani. toternham na liverpool wanaenda robo fainali tena msimu huu kuungana na juve psg barcelona, na valencia. natabiri tu wakuu. ila bado sijaona timu ya kumzuia liver kuchukua tena kama hawatapata majeruhi.
Liver awe makini mno maana hao atletico wazuri wa kutafuta draw away na ushindi wa 1-0 home,so liver asiruhusu kufungwa kabisa au goli akiwa away maana hao watafungwa kwa goal difference ndogo mno pale An field maana ndo tabia yao wanapokuwa away

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna timu ya kuizuia liver pale , labda wapate majeruh,
 
1. Borussia Dortmund vs PSG =(Borussia Dortmund anapita)
2. Real Madrid vs Manchester city =(Japo ndio mechi mgumu sana,tunapita sisi Real Madrid)
3. Atalanta vs Valencia =(Valencia anapita)
4. Atletco Madrid vs Liverpool (Liverpool anapita)
5. Chelsea vs Buyern Munich (Munich anapita)
6. Lyon vs Juventus =(Juventus wanapita)
7. Tottenham vs Red Bull (Tottenham wanapita)
8. Napoli vs Barcelona (mechi lain kwa Barcelona wanapita)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom