UEFA Champions league - 16 knock out stage, mechi kali kuliko zote ni Real madrid vs Manchester city

Hii Chelsea na Bayern itakuwa kama ile fainali waliokutana lakini Atletico na Liverpool ni mechi ngumu sana
Hapo City na Real naona kama PEP anagonga upara wa ZIZZOU Kwa kumtumia KDB kwa Barca hapo hali sio mbaya sana kwa sababu anamalizia mechi nou camp
 
Mancity watapigwa nje ndani chelsea pia atapigwa nje ndani. toternham na liverpool wanaenda robo fainali tena msimu huu kuungana na juve psg barcelona, na valencia. natabiri tu wakuu. ila bado sijaona timu ya kumzuia liver kuchukua tena kama hawatapata majeruhi.
 
Watu bana mnaongea kwl kwahyo unataka ulipize kisasi,,,ckia hii ni UEFA alafu ile n real Madrid the giant usiione in drawa na akina Valencia unachukulia poa
Anyway am real fan of Bavaria halaaaaa Munich
Liverpool na barca ni kupita bila kupingwa..

japo nilitaka liver watupngie Madrid tulipize. ila wametupa ndugu ake.. sio mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom