Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
umenichekesha sana Rejao ingawa ulichoandika ni cha kweli,ila kiuhalisia wanaosomesha watoto kwa mil 6 ni wachache sanaUDBS, kwa MBA hiyo ada ya 6m imekaa kwa muda mrefu sana na wanafikiria kuipandisha. Ni muda muafaka na huko CASS ipandishwe. BTW milion sita kwa Masterz ni hela ndogo sana. Watoto wetu primary tunawalipia hiyo 6m na zaidi, kwanini kwa masters ishindikane?
Last edited by a moderator: