UDSM yapandisha ADA 100% kwa Masters 2013

UDSM yapandisha ADA 100% kwa Masters 2013

Hivi hakuna sponsorship zinazotolewa na Govmnt, NGO's au taasisi yoyote kwa ajili ya Masters kwa hapa nchini? Na schoolerships za ughaibuni haziwezi kukuruhusu kusomea nchini kwako? Wanaojua hebu tusaidieni ili tuweze kusoma hizo masters
 
millioni sita kwa mwaka hela zote....ni heli uwekeze 2015....ugombeee hata udiwani au ubunge....ndani ya week moja hela yako imerudi..na faida .ukiwa ubunge...at the same time hapo unakula mshahara sawa na mtu wa masters degree...pamoja na profesa ambaye alikuwa anatakiwa awe mwalimu wa masters....
 
Kwa kozi ya education je ada hyhy au
kwanini sasa MIB na MIT ziwe bay kubwa, what is tha reason behind, operation cost zake za utoaji wa hizi course ziko juu au ni za maana sana kuliko nyingine.

Na bai zao ziko juu zaidi ya hizo mlizo zionyesha , nimepewa admission letter ada inaonyesha 6370000/= but wamenipigi asimu na wakanitumia sms ada ni 7.5 mln + 95,000 adm na student organizatio na ID.

inatisha.
 
Hiyo nayo hela? Mbona hatoshi hata vitz used?

Kasome bwana achana na visingizio
 
Back
Top Bottom