UDSM watoa ufafanuzi Suala la Dr K Mkumbo

Tume ya UDSM itakuja na tamko kuwa Dr Kittila alishajiuzulu nyadhifa zake CHADEMA tokea 2010 hivyo basi hana hatia na kumerejeshea wadhifa wake.
 
CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU

Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),

1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu

Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam

Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
cc. Ritz, FaizaFoxy, simiyu yetu.
 
"Dkt. Mkumbo amekanusha kimaandishi tuhuma hizo za kuwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na kusisitiza kuwa yeye alijiuzulu nafasi hiyo ya ujumbe wa kamati kuu tangu Januari 2010, baada ya kutanabaishwa juu ya sheria husika, na kwamba hajawahi kuurejea wadhifa huo".

Inaelekea sote tukisoma kwa makini maelezo ya UDSM (kama ni ya kweli) naona suala liko wazi mno. Ipo sheria iliyomzuia Dr. Mkumbo kama Mtumishi wa Umma kuwa na nafasi ya uongozi katika chama cha siasa, sheria ambayo hata kama hakuwa anaifahamu kabla lakini baada ya kutanabaishwa ili asikinzane nayo kwa maelezo yake kama ilivyo nukuu hapo juu ".... alijiuzulu nafasi hiyo ya ujumbe wa Kamati Kuu tangu Januari 2010...." Kwa kuzingatia uelewa mkubwa wa Dr. Mkumbo nina imani kuna tatizo moja; aidha maelezo ya Chuo si sahihi kuhusu suala zima hili ama Dr. Mkumbo aliudanganya utawala wa UDSM kwamba alishajiuzulu ujumbe wa Kamati Kuu ya Chadema tangu 2010 kuua "soo" kwa vile haiwezekani awe alishajiuzulu cheo hicho cha chama na bado atamke siku chache zilizopita kwenye vyombo vya habari kwamba Kamati Kuu ya Chadema haina uwezo kisheria kumvua wadhifa wake huo.

Jamani, hebu tuonyeshe basi u-Great thinkers wetu kwa kuchambua hoja!
 
1. ...Hizo sentensi mbili zenye red sijazielewa. Amesimamishwa na uongozi wa chuo au amejiuzuru mwenyewe?

2. Nadhani sheria inahusu mtumishi wa umma na sio mkuu wa kitivo, kwa nini anasimamishwa ukuu wa kitivo na sio utumishi?
kwenye namba moja! inamaana uongozi wa chuo ulimsimamisha kwa muda na baada ya uchunguzi wenda angeendelea na wadhifa wake.lakini yeye kajihudhuru moja kwa moja( permanently) hivyo hata kama itabainika hana makosa basi hawezi kurudishiwa wadhifa wake.

namba mbili wengine watasaidia!
 
UDSM acheni uccm je angekuwa ccm mngemvua?

Hii siasa ni mbaya mno kwa nchi yetu. Tumeona watu wamekuwa madiwani ndani ya CCM mpaka leo hii hawachukuliwi hatua leo kisa ni Dr. Mkumbo wa CDM ndiyo iwe nongwa?

Hii ni intimidation kwa academia kushiriki diasa tu za CCM lakini mwiko kuwa upinzani! Haifai na naomba kwa hili UDASA isikae kimya. Na vyuo vikuu vingine vyote inabidi kuingilia kati jambo hili. Haya ndiyo mambo yatakayo vunja amani ya nchi hii. Kuwa mwana upinzani siyo kosa la jinai na kama sheria inakuwa enforced isiangalie sura ya mtu . Tunajenga societ ya aina gani? Pengine ingekuwa afadhali zaidi kama haya yangetokea kwenye institutions zingine lakini... Kwenye think tank ya Taifa! Hii dhambi ni mzizi wa dhambi na siyo dhambi ya kawaida.
 
Back
Top Bottom