Waingereza husema "the devil is in the details". Waswahili husema "kila king'aracho si dhahabu". Hapo pekundu ndo tunaita stori za mtaani na swaga za vijana. Kila chuo kina mazuri yake na mabaya yake kutegemea na malengo ya mtu. Jiulize kwa mfano ukitaka kusomea MD utakwenda wapi UDSM au CUHAS? Journalism? etc. Zakuambiwa changanya na zako-alisema mwenyekiti mmoja wa li chama lile. Kuna mambo UDSM wakopoa zaidi na mengine SAUT wako poa zaidi lakini above all kichwa cha mwanafunzi ndonyenzo kubwa.