Hizi mbwembwe tu na anajipa matumaini, achana nae huyo, kingine ww jamaa unatafutwa na polisi maana haiwezekani ujitangaze "unakodisha bunduki" ww utakuwa unawajua wahalifu wote aisee, sema mara moja upo wapi polisi waje wakukamateHabar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
sio wew ndo umuulize boss wako kwanin?
Kwa uandishi huu hyo masters uliipataje????Mimi nimesoma saut (undergraduate) na udsm (masters). Jaman usdm kukaa na pdof akakupa maujuzi kawaida sana ila pale udsm alikuwepo prof mmoja those days na alikuwa hata akija class ujue kapotea njia hasa undergraduate. Sijui huko masters wanaingia akina nani ndo sijui. wacha tuendelee na hawa maprof wazee hapa udsm ni relactant hao sijawahi ona ila knowledge unaiona kwao na wewe unaona unapata kitu
No information no rights to speak.Udsm ninayoijua mimi au udsm ipi saut chuo cha kata kilianzishwa mwaka 2006
Kizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni bora tu..UDSM ni the best aisee huwez fananisha na vyuo vyenye kutoa GPA ya 4.5 kawaida tu
Rais Mao Tsetung alisema no research no right to speak!!!BORA, hakuna asyejua ila UBORA NA UWEZO KTK TAFITI PAMOJA NA KI2
SI CHA MAPROFESSOR.
Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
Boss, what the hell,,,,,? are u really "a holder of masters" how dare u write this shit,,,,,? Now i understand why UDSM is being underestimated. B'coz of products like u.Mimi nimesoma saut (undergraduate) na udsm (masters). Jaman usdm kukaa na pdof akakupa maujuzi kawaida sana ila pale udsm alikuwepo prof mmoja those days na alikuwa hata akija class ujue kapotea njia hasa undergraduate. Sijui huko masters wanaingia akina nani ndo sijui. wacha tuendelee na hawa maprof wazee hapa udsm ni relactant hao sijawahi ona ila knowledge unaiona kwao na wewe unaona unapata kitu
Halafu that's Africa njoo,uminimize to East Africa uone kama Kenya bado haipo kileleni.UDSM chuo ambacho mnakiona bora takwimu za mwaka huu hakikuepo ata kwenye top 20 Afrika sasa kina ubora gani?
Waache tuu their graduants will feed on politics.Wahadhili wa udsm wamebaki Kufundisha siasa tuu na kuwapa madesa wanafunzi wao.. Wanakaririsha tuu wanafunzi aisee.. Hamna kitu tunao Huku Mtaani Kuna mmoja Juzi Kat tumeenda kufanya interview kiingereza ni mtupu kabisa afu mwalimu wa language.
Kila mwak kuna,vyuo vnapanda na kushuka katika ranks z ubora,so kwa UDSM imetegemea though sio kw kiwango cha kawaid.UDSM chuo ambacho mnakiona bora takwimu za mwaka huu hakikuepo ata kwenye top 20 Afrika sasa kina ubora gani?
Mimi NAKAZIA MAARIFA tu kwa hili!Udsm si ndyo inatoa phd ya vilaazaaaa wasiojua kuongea kingeleza