UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

hahaha mkuu,mi mefraishwa tuu na jina akooo.ati tunakodisha bundukiiii hahaha
 
Gpa yako ilikuwa ndogo wewe yaaani kabisa MTU na akili zake akasome sauti
 
point.
 
Kiuhalisia
Kwa ufundishaji saut is best than ud, lecturers the same japo wanachangia hoja hapo ni namba of dr's maana marev na masister including hawa wa kitaa saut wanao wazur wasiochuja but ud ni mboga iliyokuwa na naz sasa imeongezwa maji mchuz umekuwa mwepesi,
Kuwa bora chuo sio tu taaluma hata mazingira ud mazingira ni condusive than saut hata udo, ranks of elites yaan majina nasio performance ,
Ubora saut uko kwenye utoaji taaluma which doesn't consider ur clever or not maana watu wanasoma

Gpa ya 4 it's because watu wanapiga msuli kama secondary ulaji wa bata saut ni tofaut na ud kwa sababu ya laziness ya lecturers wao na mtiani unakuwa wa wavivu cos wanajua ni wtumishi tu chao kinaingia differ from saut kuanzia mkuu wa chuo wote masiala ni mwiko

Saut utukuke
 
Mkuu cjakupata fresh
 
Yaani nilitaka kuuliza maana vituko vya sauti mmh Ktk idadi ya vyuo kweli imo hebu toka na kadegree kako Ka sauti nje ya nchi ndio utaona katakavyo pigwa buti
Tuulize aisi tuliosoma udsm na saut. Mwanao anasoma shule ya private au government? Ukiugua unaenda hospitali za private au government?
Tulia kabisa dogo hata chuo bado hujafika, maliza necta ya prof ndali kwanza.
 
Nina wasiwasi na wewe kama kweli ni msomi.
endelea kudoubt, siku utakapoamka na kukuta CV Yako ipo mezani kwangu, ndio utapata majibu ya kutofautisha kati ya UDSM na saut
 
Mimi nilisoma Udsm degree ya kwanza na Masters saut Nyegezi.
Aisee St. Augustino wapo vizuri kuliko udsm. Udsm limebaki jina tu. Hovyo kabisa!
Daaah
Yaan uamuzi tu wa kusoma MA ya SAUT kwa kweli ni wa kutiliwa hofu, hapo urirudi nyuma hatua 10 zaid
 
Udsm ninayoijua mimi au udsm ipi saut chuo cha kata kilianzishwa mwaka 2006
University ni moja tu! UDSM, MUHAS. BASI VINGINE NI KUJIKONGOJA FADHILA ZA UDHAIFU WA AWAMU YA NNE.
In a strict state with integrity, the rest of the so called Universities will not be in existence
 
Daaah
Yaan uamuzi tu wa kusoma MA ya SAUT kwa kweli ni wa kutiliwa hofu, hapo urirudi nyuma hatua 10 zaid
Tunawaona kwa mfano wale wa Mass Communication wengi wa watangazaji wa hivi vituo vya redio, TV unawaona kuwa they are empty! Most of them are from SAUT. Tunawaona. Kuanzia ITV all the way to rotten Clouds!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…