UDSM, usafi wa vyoo umewashinda?

Tatizo maji hakuna
 
Labda ndiyo style mpya ya uongozi mpya wa chuo
 
Hata kama usafi ni shida kwenu,mjaribu kulenga basi ili black ball ingie tunduni....ebohh

Ova
 
Mmh
 
KUMBUKA KUNA WATU WAMEPEWA TENDA YA KIFANYA USAFI HAPO..

JE!? WAMESHINDWA KAZI???

AU HELA YA USAFI IMEPIGWA !!!
 
KUMBUKA KUNA WATU WAMEPEWA TENDA YA KIFANYA USAFI HAPO..

JE!? WAMESHINDWA KAZI???

AU HELA YA USAFI IMEPIGWA !!!
na usafi unaweza fanyika ila watumiaji nao ni kazi tupu
 
na usafi unaweza fanyika ila watumiaji nao ni kazi tupu
Hahah ni kweli ...

Swali, JE HIVYO VYOO MIUNDOMBINU YAKE INASAPOTI USAFI ???

[emoji117]KUNA MAJI YAKUTOSHA?? AU HUWA YANA KATA MARA KWA MARA!!??

[emoji117]USAFI HUWA UNAFANYWA BAADA YA MDA GANI???

[emoji117]JE KUNA VIFAA BORA VYA KUWASAIDIA WAFANYA USAFI KUFANYA KAZI ZAO KWA UFANISI???

let me end here.
 
Lile jengo jeupe la kule juu cafteria ya yombo kwa juu vyoo vyake ni visafi muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…