Wakuu salama?
Najua hii mada kuna wakati ilishajadiliwa humu ila kwakuwa bado hali ya vyoo ni mbaya sio vibaya tukiwauliza UDSM, je kweli usafi wa vyoo umewashinda?
Taasis kubwa kama UDSM inashindwa swala dogo tu la usafi was vyoo, hii ni aibu kubwa sana. Vyoo havina maji muda mwingi. Kwakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.