Kikapuu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,200
- 1,748
kule school of educationLile jengo jeupe la kule juu cafteria ya yombo kwa juu vyoo vyake ni visafi muda wote.
kule school of educationLile jengo jeupe la kule juu cafteria ya yombo kwa juu vyoo vyake ni visafi muda wote.
ndio SoED, pale ni pasafi muda wote. Labda kwa vile hakuna changanyikeni sana na wanafunzi.kule school of education
Vyoo vya Sr vikoje siku hizi..ndio SoED, pale ni pasafi muda wote. Labda kwa vile hakuna changanyikeni sana na wanafunzi.
Na kule vyooni wameweka matangazo ya kuwataka watumiaji wawe na ustaarabu, nadhani imesaidia sana.
Yani mtu kufanya usafi paka aambiwe,alafu jitu zima kabisa yani.ndio SoED, pale ni pasafi muda wote. Labda kwa vile hakuna changanyikeni sana na wanafunzi.
Na kule vyooni wameweka matangazo ya kuwataka watumiaji wawe na ustaarabu, nadhani imesaidia sana.
Watu wa usafi si wanalipwa kwa ajiri ya hiyo kazi, nadhan wasimamizi wao ndo wana matatizo.Yani mtu kufanya usafi paka aambiwe,alafu jitu zima kabisa yani.
Vyoo vya Sr vikoje siku hizi..
Uchaf sio wanafunzi.. Wasafisha vyoo wapoWanafunzi wachafu.
SoedLile jengo jeupe la kule juu cafteria ya yombo kwa juu vyoo vyake ni visafi muda wote.

kula changanyikeni sio kubwa sanandio SoED, pale ni pasafi muda wote. Labda kwa vile hakuna changanyikeni sana na wanafunzi.
Na kule vyooni wameweka matangazo ya kuwataka watumiaji wawe na ustaarabu, nadhani imesaidia sana.
Ni kweli SOED hakuna changanyikeni kama Yombo au Nkrumah, na hii inachangia kuwa safi muda wote.kula changanyikeni sio kubwa sana
Kuna mwaka pale Ubungo (UBT) pale nje karibu na yalipokuwa yanatokea mabasi palikuwa na vyoo vya kulipia, nikaingia nikakuta mtu kapangusha mavi na kidole yaani kachora kama fundi ujenzi.Yani mtu kufanya usafi paka aambiwe,alafu jitu zima kabisa yani.
Kuna watu wana roho ngumu sana aisee.Kuna mwaka pale Ubungo (UBT) pale nje karibu na yalipokuwa yanatokea mabasi palikuwa na vyoo vya kulipia, nikaingia nikakuta mtu kapangusha mavi na kidole yaani kachora kama fundi ujenzi.
Nikatoka bila kujisaidia kwa sababu hakuna msala mgumu kujitetea kama wa kuchafua chooni, hata kama hujahusika utaonekana ndio mhusika mkuu.
Poleee mpenda vyooWakuu salama?
najua hii mada kuna wakati ilishajadiliwa humu ila kwakuwa bado hali ya vyoo ni mbaya sio vibaya tukiwauliza UDSM, je kweli usafi wa vyoo umewashinda?
Taasis kubwa kama UDSM inashindwa swala dogo tu la usafi was vyoo, hii ni aibu kubwa sana. Vyoo havina maji muda mwingi. Kwakuwa UDSM imepata uongozi mpya hivi karibuni, tunaamini kwamba uongozi huo utatatua changamoto hii na kuondoa sifa mbaya hii kwa chuo.
Nimeweka viambatanisho vya hali halisi ya vyoo, tena hapo leo hali ya vyoo inaafazali kubwa sana, maana kuna wakati hata kupiga picha huwezi.
Aibu tupuiuuuWakuu salama?

Tuzo ya Vyoo Bora inakwenda kwa UDiiiVyoo Bora Afrika Mashariki
WivuuuTuzo ya Vyoo Bora inakwenda kwa UDiii
Hujabanwa wewe, utakuwa ulikuwa unaenda huko msalani kwa kufuata ratiba tu. Ukiwa umevurugikiwa kisawasawa na Khali, huo uchafu, sijui michoro, utaiona baada ya kumaliza shughuli iliyokupeleka kule!Kuna watu wana roho ngumu sana aisee.
Hali kama hiyo hata haja yenyewe inakimbia,inabidi usepe tu.