UDSM, usafi wa vyoo umewashinda?

UDSM, usafi wa vyoo umewashinda?

Wakuu salama?
najua hii mada kuna wakati ilishajadiliwa humu ila kwakuwa bado hali ya vyoo ni mbaya sio vibaya tukiwauliza UDSM, je kweli usafi wa vyoo umewashinda?
Taasis kubwa kama UDSM inashindwa swala dogo tu la usafi was vyoo, hii ni aibu kubwa sana. Vyoo havina maji muda mwingi. Kwakuwa UDSM imepata uongozi mpya hivi karibuni, tunaamini kwamba uongozi huo utatatua changamoto hii na kuondoa sifa mbaya hii kwa chuo.
Nimeweka viambatanisho vya hali halisi ya vyoo, tena hapo leo hali ya vyoo inaafazali kubwa sana, maana kuna wakati hata kupiga picha huwezi.
Tutakushika tu kijana. Ngoja tuingie deep web tukudukue. Naona unapenda kunya sana
 
Mambo ya hovyo sana
Kuna mwaka pale Ubungo (UBT) pale nje karibu na yalipokuwa yanatokea mabasi palikuwa na vyoo vya kulipia, nikaingia nikakuta mtu kapangusha mavi na kidole yaani kachora kama fundi ujenzi.
Nikatoka bila kujisaidia kwa sababu hakuna msala mgumu kujitetea kama wa kuchafua chooni, hata kama hujahusika utaonekana ndio mhusika mkuu.
 
Back
Top Bottom