UDSM, usafi wa vyoo umewashinda?

UDSM, usafi wa vyoo umewashinda?

wakati mwingine hata watumiaji pia ni hole -dirtier maana ukiangalia mabibo hostel walikuwa pia wanatumia kama watoto wa primary vile, ustarabu ziro.wabongo walio wengi hata uwatengenezee vizuri aje utakuta mtu kaingia yupo tungi anaweka mzigo pembeni au anatapika kwenye sink la kunawia. uwanja wa mchina watu walikuwa wanakojoa kwenye masink ya kunawia.
Tatizo maji hakuna
 
Labda ndiyo style mpya ya uongozi mpya wa chuo
 
Hata kama usafi ni shida kwenu,mjaribu kulenga basi ili black ball ingie tunduni....ebohh

Ova
 
Wakuu salama?
najua hii mada kuna wakati ilishajadiliwa humu ila kwakuwa bado hali ya vyoo ni mbaya sio vibaya tukiwauliza UDSM, je kweli usafi wa vyoo umewashinda?
Taasis kubwa kama UDSM inashindwa swala dogo tu la usafi was vyoo, hii ni aibu kubwa sana. Vyoo havina maji muda mwingi. Kwakuwa UDSM imepata uongozi mpya hivi karibuni, tunaamini kwamba uongozi huo utatatua changamoto hii na kuondoa sifa mbaya hii kwa chuo.
Nimeweka viambatanisho vya hali halisi ya vyoo, tena hapo leo hali ya vyoo inaafazali kubwa sana, maana kuna wakati hata kupiga picha huwezi.
Mmh
 
KUMBUKA KUNA WATU WAMEPEWA TENDA YA KIFANYA USAFI HAPO..

JE!? WAMESHINDWA KAZI???

AU HELA YA USAFI IMEPIGWA !!!
 
na usafi unaweza fanyika ila watumiaji nao ni kazi tupu
Hahah ni kweli ...

Swali, JE HIVYO VYOO MIUNDOMBINU YAKE INASAPOTI USAFI ???

KUNA MAJI YAKUTOSHA?? AU HUWA YANA KATA MARA KWA MARA!!??

USAFI HUWA UNAFANYWA BAADA YA MDA GANI???

JE KUNA VIFAA BORA VYA KUWASAIDIA WAFANYA USAFI KUFANYA KAZI ZAO KWA UFANISI???

let me end here.
 
Lile jengo jeupe la kule juu cafteria ya yombo kwa juu vyoo vyake ni visafi muda wote.
 
Back
Top Bottom