Mkwala tu huo. Logically, hakuna boom kama bado huja-register, na huwezi ku-register bila kulipa ada za chuo.
Wengi wa wanafunzi uwezo mdogo kipesa hivyo hutegemea pesa ya boom kulipa sehemu ya ada wanayodaiwa na chuo. Hata hivyo sio kiasi kikubwa mara nyingi kama HESLB wamewaingizia mapema, wengi pesa ya chakula kulipa na kufidia mbele ya safari.