UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

Ndo Mana Ya Batch One.Unataka Source Ikusadie Nini?We Umepewa Assignment?Itatoka Batch2 Na Jina Lako Halipo.Sio Lazima Wote Mchaguliwe Udsm.Vyuo Vipo Kama Udom,mzumbe,makumira N.K.Sio Lazima Kua Ukijaza Udsm Unapangwa.Kama Una Point Ambazo Hawazitaki Huchaguliwi.Hapa Hakuna Kubembelezana Kua Watakosa Madent.Hii Ni State University Kwa Hiyo Inapata Cream Kwanza.

Ahaaa sasa kwa mfano iktoka batch 2 itakuwa vp mana kwa nnavoyatazama hapa iyo admission inaonesha kila faculty capacity iko fully
 
Wana jf niangalizieni mdogo wangu maana atakufa kwa pressure S4224/0027/2012
 
Wana jf niangalizieni mdogo wangu maana atakufa kwa pressure S4224/0027/2012
 
msaada wakuu s2537/0179/2012 mana nilijaza hapo koz mbili ambazo ni electrical na civil
 
Alichagua becom/ na b.economy
Na Gpa ni 10 kwa masomo yake ya comb B+,B,B
 
Dah....udsm kwenye upande wa school of education wamefanya sivyo lkn yan mtu una merit ya 3.3 wanakuacha...yan mara hii ni distinction tu...sasa wenye credit wakasome wap?
 
Back
Top Bottom