UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

Kupata merit au credit sio km mtu ndo kilaza...na ata km umepata iyo distinction sio sabb ya kujigamba km ww ndo genious...inategemea paper imekuja vp. kikoozi#

Kilaza ni kilaza tu ata ungempa paper ya kushade ya darasa la saba bado kilaza atafeli tuu
 
Last edited by a moderator:
mkuu naomba uniangalizie hii namba s3688/0099/2012. aliomba DUCE NA MUCE bachelor of science with education na pia in education.
 
Ndo Mana Ya Batch One.Unataka Source Ikusadie Nini?We Umepewa Assignment?Itatoka Batch2 Na Jina Lako Halipo.Sio Lazima Wote Mchaguliwe Udsm.Vyuo Vipo Kama Udom,mzumbe,makumira N.K.Sio Lazima Kua Ukijaza Udsm Unapangwa.Kama Una Point Ambazo Hawazitaki Huchaguliwi.Hapa Hakuna Kubembelezana Kua Watakosa Madent.Hii Ni State University Kwa Hiyo Inapata Cream Kwanza.

nimeon post yk nyng, we jamaa sio mzima
 
Habari mlioko UDSM.Wale mlioko Shule ya Sheria NGAZI YA UZAMILI.Naomba mnisaidie.Katika pekuapekua yangu nikona baadhi ya LLM za mwaka mmoja lakini kwenye nchanganuo wa ada kozi za LLM zinaonesha kuwa ni miezi ama 18 au 24. Prospektasi hapo zinaoneshaje? make kama ilivyo kawaida kwa taasisi nyingi wanaweka mawasiliano ukituma hata barua pepe hawajibu.Tafadhali naomba jibu kwa aliyeko karibu na chanzo.
Ahsanate
 
Dah....udsm kwenye upande wa school of education wamefanya sivyo lkn yan mtu una merit ya 3.3 wanakuacha...yan mara hii ni distinction tu...sasa wenye credit wakasome wap?

Hizo ndio division ngapi? Hii elimu kweli imechakachuliwa.
 
merit ndio nini??

wenginw tumesoma enzi za mkoloni tunajua div 1 tu, mambo ya gpa za a level tunaona nyota tu
 
wale wa BAED WALIOJAZA UDSM WAMAECHUKUA MWISHI POINT 11 NA WALE WA DUCE MWISHO WAMECHUKUA POINT 10 NA WALE WA MKWAWA MWISHO WAMECHUKUA POINT 9 NA WALE WA BSCED. UDSM WAMECHU MWISHO POINT 8 NA DUCE MWISHO POINT 7 NA MKWAWA MWISHO POINT 7 SAS KAMAPOINT ZAKO HAZIJAFIKIA HAPO NILIPOTAJA BHAS SUBIR VYUO VINGINE wakitoa
Yumoki naomba niangalizie mdogo wangu p0960/0585/2015
 
Back
Top Bottom