UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

wakuu naomba kujuzwa. kama batch ilotoka n ya udsm inakuaje m2 anaambiwa kangwa muce au duce? naomba ufafanuz tafadhali
 
huyu jamaa anazingua iweje selection awenazo yeye tukimuuliza source hatak kusema wala hatak kurusha kwa e-mail
 
Ndo Mana Ya Batch One.Unataka Source Ikusadie Nini?We Umepewa Assignment?Itatoka Batch2 Na Jina Lako Halipo.Sio Lazima Wote Mchaguliwe Udsm.Vyuo Vipo Kama Udom,mzumbe,makumira N.K.Sio Lazima Kua Ukijaza Udsm Unapangwa.Kama Una Point Ambazo Hawazitaki Huchaguliwi.Hapa Hakuna Kubembelezana Kua Watakosa Madent.Hii Ni State University Kwa Hiyo Inapata Cream Kwanza.
 
Mmmh... State University.
 
Back
Top Bottom