S1061/0506/2015Jacob Daud Arts with Education
S1061/0506/2015
Samahani Kwa Usumbufu Nimechaguliwa Udsm Au DUCE msaada tafadhali
Yaa hii ya form 6 plz
Index no f6
Habari ya mda huu! Kutokana na maswali yenu mliyo yauliza kuwa haya majina nimeyapata wapi iko hiv! Me nimetumiwa kwa email na email iliyonitumia sihifahamu! Ikiwa na hiyo heading niliyo weka kwenye uzi huu! Binafsi nimeangalia kwenye website ya chuo cjaona habari yoyote kuhusu haya majina! Nimemuuliza email yangu ametoa wapi na haya majina ameyatoa wapi haja reply till now Nimeamini kama niyenyewe baada kumuona one of my friend amechaguliwa kozi aliyo omba udsm ndio maana nikaamua ku share na nyinyi watu wangu wa nguvu! Nawasilisha!
Naomb kujua idadi ya waliochaguliwa baed udsm kwan kuna jamaa kanambie kacheck kwny hiyo link kaona hawafiki 40! je kuna ukweli wowote kwenye hii first batch maana jamaa kanchanganya.
waliochaguliwa ni 1170 na co 40
samahani naomba niangalizie S1061/0503/2015
Habari ya mda huu!
Kutokana na maswali yenu mliyo yauliza kuwa haya majina nimeyapata wapi iko hiv! Me nimetumiwa kwa email na email iliyonitumia sihifahamu! Ikiwa na hiyo heading niliyo weka kwenye uzi huu! Binafsi nimeangalia kwenye website ya chuo cjaona habari yoyote kuhusu haya majina!
Nimemuuliza email yangu ametoa wapi na haya majina ameyatoa wapi haja reply till now Nimeamini kama niyenyewe baada kumuona one of my friend amechaguliwa kozi aliyo omba udsm ndio maana nikaamua ku share na nyinyi watu wangu wa nguvu!
Nawasilisha!
za mchana jamani samahan ni hvi kama UD wameshatoa majina na wale walioambiwa kuselect second round inakuajee?? naomben msaada
utachaguliwa bt so tena ud kuz ww n km makapi