and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Kama ilivyokuwa Katavi University of Science and Technology (KUST) vile vile Ile campus ya Mchongo kule Ruangwa inaenda kuwa nyumba ya popo! Mzee wamemtema mapema asubuhi
Yale yale ya branch maarufu iliyoko nyumban kwa muasisi wa taifa hiliKama ilivyokuwa Katavi University of Science and Technology (KUST) vile vile Ile campus ya Mchongo kule Ruangwa inaenda kuwa nyumba ya popo! Mzee wamemtema tayari
Bado vipo na leo nimeweka hela Bank na baadae nikapanda pipa uwanja wa ChatoAirport ya chato na Ile bank ilijengwa Kwa mbwembwee hv Bado zinapumuaa kweliii🤔🤔
Hii nchi Kuna kipindi ataingia raisi asiyekuwa na chama HAKI atanyongaa watu hadharan Kwa ubadhirifu wa fedha za walipa kodiiii...
Benk bado ipo vizuri, uwanja upo ila ndege kutua na kupaa ni nadra sanaBado vipo na leo nimeweka hela Bank na baadae nikapanda pipa uwanja wa Chato
Safiii kama vpoo na vinafanya kaziii mkuu🤸Bado vipo na leo nimeweka hela Bank na baadae nikapanda pipa uwanja wa Chato
Profesa RugumamuProfesa gani serious utampeleka Ruangwa?
Pole Namungo FCMWIGULU NCHEMBA ALIPOTEMWA TIMU YAKE ILIYUMBA KAMA UKIMWI!SASA NAMUNGO ITAKUFA KIFO CHA MENDE. HAWA NI WANYONYAJI WA NCHI