UDSM Programming - Hawajui kwenda na wakati

UDSM Programming - Hawajui kwenda na wakati

sipingani na wewe lakini lazima watu waonyeshwe dunia ya computer science ilipo tokatusi criticize kila kitu mimi najua paschal ina msingi mzuri kwa wanaojifunza programming na lazima tuwe na watu wabunifu pia,ubunifu huanzia pale mwenzio alipoishia...mimi nilifundishwa dos mara ya kwanza kabisa naanza kuingia kwenye computer industry haikuwa na manufaa zaidi ya kuonyeshwa dunia ilipotoka lakini ilinisaidia sana katika kazi zangu sana hasa katika hard disk vimeo kipindi hicho..

Ni tanzania tu au africa tunapo icomplicate hii industry ya computer technology ila wenzetu wanapiga hatu kwa watu kuwa na open source kibao hasa zilizo applicable kwenye institution kibao

Kama unalijua hilo, kwa nini tusiwaige wanachofanya tunabaki kustick na mambo yasiyo na msingi?
Kusoma mambo yalipotoka si mbaya, ipo C, inaonyesha vizuri mambo yalipotoka, ina very close access to the metal, you could even write assembly ontop of it and it will run na bado inatumika kwenye industry hadi leo. Hiyo introduction kama vipi wangeifupisha, mwaka mzima is a lot kwa something useless kwa nini wasingeenda na kitu ambacho hawatokaa waanze tena upya kumfundisha mwanafunzi syntax bali kuendelea na more advanced concepts. Uanze na Pascal, upoteze mwaka, alafu ukiingia language nyingine, uanze upya syntax, uanze kurudia for/while loops, classes, what a waste of time. Huo muda wangepoteza kujifunza angalau datastructures na algorithms.
 
sipingani na wewe lakini lazima watu waonyeshwe dunia ya computer science ilipo tokatusi criticize kila kitu mimi najua paschal ina msingi mzuri kwa wanaojifunza programming na lazima tuwe na watu wabunifu pia,ubunifu huanzia pale mwenzio alipoishia...mimi nilifundishwa dos mara ya kwanza kabisa naanza kuingia kwenye computer industry haikuwa na manufaa zaidi ya kuonyeshwa dunia ilipotoka lakini ilinisaidia sana katika kazi zangu sana hasa katika hard disk vimeo kipindi hicho..
INGENJA
Very good argument. Tuanze na kufundisha Abacus mashuleni, maana Latops sijui desktop tuna complicate.

Ni tanzania tu au africa tunapo icomplicate hii industry ya computer technology ila wenzetu wanapiga hatu kwa watu kuwa na open source kibao hasa zilizo applicable kwenye institution kibao
Kuna open source ngapi kati ya hizo zimeandikwa kwa Pure Pascal?

Hivi Pascal ina msingi gani mzuri kuzidi Python kwa mfano? Ni rahisi kiasi gani kutumia Syntax yenye BEGIN ... END kwenye language zingine?

Kama ni msingi mzuri basi C++ ndio lugha bora. Lugha nying zimekopi vitu vingi sana toka C++ (Ambayo imekopi vitu vingi katika C pia)
 
Last edited by a moderator:

Haya nashukuru sana kwa demo yako, but please tuonyeshe na second year ipo programming in nn? Utakuta programming in C ipo pale, kwa wote hao Wa Computer engineering na Telecommunications. Sasa why post only part ya pascal if You are honest!?

UDSM_coict.png

Wale wa Bsc in Computer Science ndo ambao hatuna Pascal katika masomo yetu. At first nilikua najua only Telecomms ndo wanayo, but i see hata Computer engineering. So nashukuru kwa kunijuza hilo.
 
Attachments

  • UDSM_coict.png
    UDSM_coict.png
    23 KB · Views: 156
wickerman cool down it's not a war.
I wanted to point out that your info is not entirely correct.

That isn't my demo. You might need to ask UD for whatever year you want
 
Last edited by a moderator:
Lazima watakua na sababu zao kuwa bado wanafundisha Pascal, haswa umuhimu wa hizi lugha za zamani huwa zinawafanya wahusika wanaelewa programming concepts kwa kina zaidi ya lugha za kisasa ambazo zinarahisisha kazi hadi unakuta programmer anaandika software lakini mambo mengi ya programming hayajui.
 
-Give out vivid examples to breaktruth.
 
-Give out vivid examples to breaktruth.

Language za zamani kiekweli zinaweka base maana ziko simple na sehemu kubwa zinaishia kwenye problem solving mf. Mahesabu. Zinasaidia kuelewa haraka.
Language mpya zinaenda mbali mpk kwenye presentations za data mambo ya graphics na kuunganisha databases na program za kumanipulate data lkn pamoja na yote mtu anaweza fanya bila knowlwdge kubwa mf. Tunapotumia content management systems n.k kama hizi joomla ni kucheza na template na kucastomise modules zilizokwisha kuwa coded huko wapi sijui basi... wala huhitaji kukumbuka brackets wala semi colon labda utake mwenyewe.
 
Yaani Joomla ndio hizo modern language unazoziongelea? Aisee!
 
Ovyo sana, wanatia huruma, stuck in time. Kuna mtu anajua uni yoyote nyingine bado inafundisha Pascal???
Kuna kitu kinachoongelewa hapa ambacho si kazi ya university kufundisha. Moja ya nguvu ya Pascal au Modula 2 ni ligha nzuri kufundishia programming principles kwa sababu zikostrict na husaidis kujenga programming discipline. mimi nilisoma principles kutumia Modula2 na baada ya hapo lugha nyingine kwa urahisi kwa kufundishwa darasani au kujifundisha mwenyewe kwenye internet na other sources. Kwa hiyo kabla ya kuidiscard Pascal tujiulize nia ya hiyo course ni kumfundisha mwanafunzi programming discipline au kutengeneza apps. Kwa computer science discipline ndio inayosisitizwa. hivyo kuna lugha za kufundishia na za kujengea apps. Mtu akijua Pascal anaweza kujifunza kwa urahisi sana lugha ya Delphi ambapo unaweza kudevelop apps O-O based.
Endapo UDSM wanafundisha Pasxal as a working language bila lugha nyingine ndipo tunaweza kuwalaumu.
 
Thread hii imejaa watu ambao sio professional kwenye fani, lakini wanajua hao lalalaaaa. Its really amazing!
 
Kwenye kujadili hili ni lazima tuangalie malengo ya syllabus yenyewe ni nini. Je ni kujifunza tu programming concepts au Je ni kutengeneza programmer anayeweza kuhimili soko la sasa? Lengo ni nini? Kwa maoni yangu katika vyote viwili, Pascal iko nyuma sana ya wakati. Kwa modern programmer aliyeanzia maybe Python, anaweza kuambiwa kuwa "this search functionality is easily done in Java", au "this could be faster if coded in C" lakini sioni popote (in my humble opinion) ambako naweza kukwama mahala halafu nikaambiwa bora ungeipiga hii part kwa Pascal! Secondly, tukija kwenye suala la kazi ni simply a matter of googling halafu uone kama Pascal programmers wako in demand or not, in my opinion, NOT!
 
hapa UDOM Informatics ukikutana na Massoud au babu mselle ni noma aisee,,

Hao jamaa wote unao waongelea walikuwa udsm Pascal inakupa mwanga na kujua basic zilizo kuwa zikitumiwa before. pia all in all programming languages zipo nyingi sana unachotakiwa kama it proffessional ni kujiendeleza mwenyewe katika lugha mbalimbali za computer tu bass
 
Hapo kwenye red, can you explain WHICH basics AND HOW does Pascal do better than modern languages. Time to move from opinionated statements to present facts.

Kwenye green: What's the use of College/Uni then if you have to learn something useful by yourself? Isn't UniCollege a place to just produce those young pros?
 
Tz kuna alot of Bogus developers kwasababu kama hii, na ndicho alichokisema pale juu Stefano Mtangoo kwamba wanafunzi wenyewe ni tatizo kubwa.
Kwamba mtu unaenda kuipenda programming ukiwa chuo, shame on you kabla hujaingia chuo ulikuwa unafikiria nini ? na programming ni soul passion na hii inanipa picha kwamba ulikurupukia programming yaani ulikua na choice nyingi before, ukaona uende tu kusoma CS n kuipendea huko huko.
Very sad.

And that is.

Mkuu sio kila mtu huko alipotoka alikuwa exposed na hivi vitu, na kutokuwa exposed haina maana hauna haki ya kuwa programmer

Kama wewe ulizaliwa computer unaiona na ukakulia kwenye mazingira ya namna hiyo mpaka ukaanza kupenda programming before Chuo then sio kila mtu ni hivyo

Kama umesoma vizuri comment yangu ulipaswa kuelewa hili. Wengi wa wanafunzi wa UDSM wa computer science wametoka mazingira ya vijijini na wengi wamekuwa programmers wazuri mno na walianza kujua programming wakiwa Chuo

Kwahiyo ukisemacho hakipo valid
 
Last edited by a moderator:
This thread is an interesting read, wengine wanabisha basi tu wakati kuna very strong arguments against the use pascal na all other archaic technologies.

I think kuna languages and technologies that are here to stay, proven, and used kila siku even though sio the most latest(and pascal is not one of them). Those are the languages people should be taught e.g Java, C/C++, Ruby, Python(As much as I hate the whole indent thing) etc.

And kama walivyosema juu, if you are into coding, this is your duty to be up to date na technologies; don't settle for what you learn in class tu. And being up to date sio unarukia every javascript framework coming out every week and becoming legacy in a month or two. Discover your interests, angalia market, and stay at the top of your game.
 
Naona watu mnashindwa kuelewa kwa nn wanafundisha pascal. Hawafundishi pascal ili wewe ukaprogram kwa kutumia pascal, no!. Pascal wanaitumia kama kumuintroduce mtu asiyejua programming ajue maana ya kuprogram, syntax etc. Mbona ukienda mbele miaka inayofuata kuna c/c++ au java? Pascal ni introduction to programming only!
 
Lazima watakua na sababu zao kuwa bado wanafundisha Pascal, haswa umuhimu wa hizi lugha za zamani huwa zinawafanya wahusika wanaelewa programming concepts kwa kina zaidi ya lugha za kisasa ambazo zinarahisisha kazi hadi unakuta programmer anaandika software lakini mambo mengi ya programming hayajui.
Nadhani unamanisha data abstraction, a programmer can use an object without knowing the internal details ie only needs to know what an object is and what it does. How object does a particular task is hidden from the programmer.
 
Eh bana tuende mbele turudi nyuma udom pale informatics wapo vzuri mi pia nakwazwa sana na hili swala la udsm kusoma pascal yani sijui wanafikiria nin hawa jamaa dunia tuliyonayo sasa sio ya pascal aseh naomba wahusika wapite huku wabadili huu uwozo

Tatizo la UDSM ni wazee wengi hawawezi kasi ya mabadiliko kitekinolojia. Mwaka 2006 tuliomba mabadiliko hayo naskitika ni miaka 5 tangu nimalize mambo ni yaleyale mweh!.
 
Back
Top Bottom