UDSM Programming - Hawajui kwenda na wakati

Asante sana mkuu! Vipi hiyo inatufaa kwa sisi tunaoanza kujifunza HTML na CSS?

Yeah, python is one of the simplest programming language, HTML hata haiitaji mwal kukufundisha it's very easy too.
 
Go East go West 7/10 best programmers are products of Informatics Salamu kwa Mohammed Dewa, mrutu, msele, masoud.....
 
Ukitaka programming nenda udom.. ndo nimesomea ila muda huu napata deal hata za europe kwenda kucode tu..
 

Kuna mtu kakwambia unatengeneza PayPal .? wewe ndo naona unakimbia topic , MPESA API kwa iyo kwako ni app ya kuparse message za mpesa ? yes Im dumb and I know I'm dumb , atleast Im smart sabab I know that Im dump , but if you are dump and you dont know ,then my friend you are the dumpest person in the world .

Kama hukuelewa bora uulize , sio unacheka cheka tu. naweza nikawa sijui , lakin pamoja na elim yangu ndogo siwezi kuona unapotosha umma nikae kimya .

Dah ..! kwa iyo SO ndo imekua uwanja wa kujidai sasa hivi , aya na wewe tuletee profiles zako za Stackoverflow uzionyeshe , maana naona izo reputation mnazopata uko zinawapa vichwa sana .
 
kwa iyo SO ndo imekua uwanja wa kujidai sasa hivi , aya na wewe tuletee profiles zako za Stackoverflow uzionyeshe , maana naona izo reputation mnazopata uko zinawapa vichwa sana .
Watanzania tuna matatizo kweli kweli.
 
mwingine hajadili hoja ye kazi kuipigia promo informatics.
mwingine ye ni kubisha tu...yan PASCAL kwel iwe ya dunia ya leo ? duh aya tuendelee
 
Watanzania tuna matatizo kweli kweli.

Mkuu nimeona hiyo statement ya jamaa nimegive up na wabongo aisee. Kama ulivosema kua tatizo la kwanza ni wanafunzi wenyewe sasa nimeamini. Yaani kua na github account na reputation stackoverflow mtanzania anaona ni ujinga.
 
Kama hukuelewa bora uulize , sio unacheka cheka tu. naweza nikawa sijui , lakin pamoja na elim yangu ndogo siwezi kuona unapotosha umma nikae kimya

Njia ya kumshika mjinga hua ni fupi tu. Lazima kuna sehemu hua mnaenda chaka, Kumbe unajijua kabisa una elimu ndogo, Basi tusipotezeane muda kujibishana kitu ambacho hukijui.
Hii ndio reply yangu ya mwisho kwako, i dont have time to fix your stupidity kama u cant even get rid of your pride and learn something for once.
 

Lets look at some potential issues in this implementation that need to be handled and adressed.


1. Faked transaction information either at the SMS level au at the main application server level.

2. Unavailability of service due to a DoS attack, network issues, power failure

3. The former issue has the potential of causing incomplete transaction. Yaani the SMS parser receives the SMS, fires the request but the main server doesn't receive the data. Au the SMS parser fails to fire the request.

4. Sniffing and man in the middle attacks.

5. Cancelled or revoked or mistaken payments. What happens when the transaction is cancelled by MPesa

Kwa the first case, we should make sure that we establish authenticity of the payment. At the SMS level, we should make sure that the sender is actually MPesa and not a spoofed sender name coming from an SMS gateway. Pia we should keep track of the balance of the account. If the balance reported by the SMS after the transaction doesn't tally with what should be the balance, flag it.

At the main server level, token authentication and locking requests from a specific IP should be implemented.

Pia tunaweza kuimplement idea ya SYN ACK kati ya server na SMS parser. This would mean that the parser would have a database of some kind which will hold a transaction information until the server proves to it (preferably through a different way than the response of the HTTP request concerned) that the server has received the transaction. The two way synchronizing should be periodic and this ensures that transactions which didn't reach the main server for any reason get there.

Additionally, use HTTPS.

To be continued...
 

Naona umejibu exact same thing kama nlichokua namjibu specie moja mbishi hapo juu, Hakutokua na tatizo la DDoS coz Server iko locked kwa IP Address moja tu, any other incoming requests from other IP addresses zitakua rejected. Alafu its not that easy kwa mtu kujua IP Address yako unayotumia kwenye server that easily kama hana access sababu sio link unaiweka public kama ilivo sites nyingine.

Na kuparse data kutoka kwenye namba moja peke yake its very easy, i think unajua thats just one line of code, nilitoa outline ya juu juu, ila its very possible kuifanya hii njia iwe reliable. Any text message inaweza tunzwa kwenye local database kabla haijawa sent, just in case imetokea failure kuconnect you could always fix the error then retrieve all the data kutoka kwenye local database to the main server. Main server ikisharead na kusave kwenye database yake unarudisha tu response unaupdate local database kua transactions flani zimekua read ili usisumbuke kuziupload tena.

Hayo mengine yote uliyosema ni vitu vinakua implemented kirahisi tu.. Sijui jamaa pale juu alichokua anabisha hasa ni nini, coz hizi ni simple CRUD operations anyone can implement.
 

Mkuu,
Mimi nipo Computer science kwenye huo mwaka wa kwanza unaouongelea, na ningependa tu kistaarabu kusema kuwa, hujafatilia vizur. Wanaochukua Telecommunications Engineering ndo wanafundishwa pascal. Wale wa Computer science tunafundishwa Java na C++ kwa Mwaka huu, Ila Java inatumika kufundishia Skills za programming na sio Language yote. And The same idea applies to wale wanaosoma Telecomm ambao wao ndo wanafundishwa Pascal. Wakat mdogo mtu unajifunza kuendesha baiskeli kwenye zile ndogo, japo now na ukubwa wako hauzitumii, lakini still bado unajua kuendesha baiskel, hope you get the analogy,

Hapo kwenye Red, fanya mabadiliko
 
..ujumbe wako nimeuelewa na kuuukubali kinyamaaaaa
 


God forbid! Why Pascal in this age? This is very cruel to these young and gifted folks. Telecommunication engineers should use at least C++ or Assembly. Something is wrong somewhere.
 

Attachments

  • delete.png
    12.3 KB · Views: 441
sipingani na wewe lakini lazima watu waonyeshwe dunia ya computer science ilipo tokatusi criticize kila kitu mimi najua paschal ina msingi mzuri kwa wanaojifunza programming na lazima tuwe na watu wabunifu pia,ubunifu huanzia pale mwenzio alipoishia...mimi nilifundishwa dos mara ya kwanza kabisa naanza kuingia kwenye computer industry haikuwa na manufaa zaidi ya kuonyeshwa dunia ilipotoka lakini ilinisaidia sana katika kazi zangu sana hasa katika hard disk vimeo kipindi hicho..

Ni tanzania tu au africa tunapo icomplicate hii industry ya computer technology ila wenzetu wanapiga hatu kwa watu kuwa na open source kibao hasa zilizo applicable kwenye institution kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…