UDSM Programming - Hawajui kwenda na wakati

Natamani sana kujifunza IT hasa programming ingawa sina basic yoyote. Wapi naweza kupata hyo elimu kwa muda nje ya muda wa kazi??

website www.coursera.com wanatoa free programming.
 

Thats why I said you are an abstract thinker , Abstraction isnt programming but demostrating your abstract concepts is the real art of solving a problem , huwezi kutatua tatizo by constructing a solution and fold it inside your head alafu ukaja apa kusema nlishapata solution wakakataa .

Ndo maana sija argue , ungekuja ukasema nlishawatengezea yote au mpaka stage flan, na ukatuonyesha mfano , ndipo ninge argue au kukubaliana na wewe . na wala sipo hapa kubishana.


Siwezi kubishana na mtu anayejinadi anaweza kutengeza an app that does money transcations in a single night au mtu anayefikira application security threat only comes from a person ( ni sawa na kusema stealing money is the only kind of theft ).
 

Pokea like mkuu hapa naona kuna waandika code na sio maprogrammer
 

thanks kwa kumuelewesha
pokea like mkuu maana kizazi cha whatsup ngumu kuelewa kuwa unachofundishwa ni missingi ya programming ili iwe rahisi kujifunza lugha yeyote ile na pascal is the best kwa wanaoanza programming
 

Ni kweli kabisa kuna tofauti kati ya Programmer na Software developer
 
Python, PhP, ASP ni Scripting Languages. You might as well suggest we teach them using HTML!
Can you kindly tell me the difference between for example Python and C++ and why you object Python to replace Pascal? Do you know that HTML is markup language and not even programming language?

Are you objecting that Python PHP and ASP aren't programming languages but scripting languages?
... And you boast yourself to be a teacher?
 
Wanafunzi walewale wanaosoma Pascal mwaka wa kwanza, mwaka wa pili wanafundishwa OO Java. Hakuna sababu ya msingi ya kumfundisha lugha tofauti na Pascal kama hataelewa.

Nimefundisha wanafunzi kadhaa wa UDSM language nyingine nyingi na wameelewa na baada ya kuelewa wakalaumu chuo chao kwa kuwapotezea muda na useless language. By the way unataka kusema lugha zingine hazieleweki mpaka usome Pascal?

DIT & Open University (both of which am proud Alumni) have no Pascal and have a lot of good students in Programming than many of UD who learn Pascal. Your theory fails here. Pascal was necessary then but not now.

Kama kuna chuo chenye Syllabus bora kabisa ya IT Tanzania ni Open University. Prof. Mbwete na team yake wamefanya kazi nzuri sana. Wale waalimu waliokwenda kusoma wakirudi, kitakuwa moja ya vyuo tishio Afrika.
Mark my words!
 
Hiyo criteria ni kwa ajil ya professional development. Kwa kufundishia novice, wing wa libraries ni distraction kubwa sana.
Nilidhani chuo kinatengeneza future professionals. Inawezekana tunaongea lugha tofauti au?
 
Lyamber

Programming ni tofauti sana na sheria. Enzi zile tulikuwa tunatumia Turbo C ya borland. Leo Borland haipo na Turbo C inatumika bado vyuoni. kama vyuo vingekuwa na wataalam au hata wangetuomba tuwasaidie kuandika mitaala yao BURE tungefanya hivyo kwa maslahi ya taifa letu.

Leo hii kuna free Professional tools kama CL, C::B na GCC/MinGW bado unatumia turbo c. Why not even VS Express?

Kuna tatizo katika institute zetu la kutowatumia wataalam wa nje. Lakini Tatizo la kwanza ni wanafunzi wenyewe. Hili ni kubwa zaidi. Nikipata nafasi nitalijadili!
 
Last edited by a moderator:
Nasisitiza kama mtu huna product, service au patent, then acha boasting.
Mwalimu tuwekee CV yako ikiwa na products zako.

Mi nitaweka hapa chache ili kuweka record sawa na sio ku boast. Sizani kama tuko hapa ku boast bali kujengana!

User Stefano Mtangoo - Stack Overflow
Badges - Ask Ubuntu
https://www.daniweb.com/members/174511/stefano-mtangoo

Na kama uko LinkedIn unaweza pitia profile yangu
https://www.linkedin.com/profile/vi...RDkvqjOUtX3U3MCFY3JBPzAg&trk=hp-identity-name

Kama Hauko LinkedIn pitia Github na uone projects zangu opensource
https://github.com/mtangoo/

Sijaweka Projects za watu kwa sababu zingine zina NDA!


Sasa kwa challenge yako mwenyewe, basi weka Kazi zako tuzione tuzipime kama opinion zako ziko practical vinginevyo kama ulivyosema uache ku boast!
 
thanks kwa kumuelewesha
pokea like mkuu maana kizazi cha whatsup ngumu kuelewa kuwa unachofundishwa ni missingi ya programming ili iwe rahisi kujifunza lugha yeyote ile na pascal is the best kwa wanaoanza programming
Mimi kizazi cha WhatsApp? Umetumia Windows 95 wewe? Umetumia Pre Pentium processors wewe?
By the way kudharau watu ni argument ya kijinga kabisa!
 
Can you kindly tell me the difference between for example Python and C++ and why you object Python to replace Pascal? Do you know that HTML is markup language and
Read the lines, between the lines and beyond the lines. There is a sattire somewhere.
 

Uliowafundisha wamejifunza Pascal kabla na wakafanya vizur ktk language nyngne. Moja ya malengo ya Pascal ni kwamba uweze kujifunza lugha nyngne kwa urahis. So sishangai kama wamefanya vzur kwenye language zngne.
 
Mimi sijasoma programming, lakini ninachojua ni kwamba lecturer hata kama anajua kitu hawezi kukufundisha kama hakipo kwenye Mtaala. Mtaala ndio unaomuelekeza mwalimu afundishe kipi aache kipi. Kuwalaumu lecturers sio sawa sana, wakulaumiwa kwa kiasi ni soko la ajira. Soko la ajira (waajiri) wanajukumu pia la kupeleka feedback vyuoni ili kila inapofanyika curriculum review (hii review haifanyiki mara kwa mara) reviewers waweze kuweka hayo mahitaji kwenye Mtaala.
 

Hehehe! you are so out of point, hivi unajua tunaongelea nini?

Nani kasema anatengeneza app ya kufanya money transaction?? Au ngeli inakupiga chenga? Sitengenezi paypal mimi.
Nimeongelea app ya kuchukua messages za MPESA kuparse information unayotaka na kuzistore kwenye database ya computer, hivi kigumu hapo kuelewa ni kipi??? Dude unajifanya kua DUMB au are you that dumb?.
Kama umeshindwa kuelewa something so simple unanipotezea muda.

Afu statement yako hapo juu, its plain stupid, ati abstraction isnt programming but demonstrating your abstract concepts.. Duh, hehehe! watumia ngeli kuonekana wataalamu kumbe unachoongea ni plain stupid, em edit ufute hiyo statement, it doesn't do you any good.

Kweli kubishana na watanzania kama wewe kazi sana coz hamjui hata mnachoongea, hujui unachoongea and yet unakua mbishi. If you can't do something doesn't mean hakuna any one who can do it. Unadharau sana au kwa kua naongea kiswahili, ningekua napiga ngeli plain kwenye site kama stackoverflow ungetoa heshima, usikae ukadharau watanzania ukadhani we can't make anything simply because you can't.
 
Sina uhakika kama Pascal inafundishwa tena UDSM kwa sasa hv kama mtoa mada alivyosema. Ni kweli kwa miaka ya nyuma (2004 nilikuwa first year - bsc in computer science) tulianza na Pascal, followed by C, Java and PHP kwa miaka yote mitatu. Tulikuwa tunasoma hizo kozi nne hadi tulipomaliza. Kwa sasa hivi Pascal si ishu kwa kweli. Niungane na wengine kwamba C is the best programming language for beginners ( I haven't code in Python [ ila nikitaka haichukui zaidi ya siku mbili] labda inaweza kuwa nzuri pia). The next best is C++ kwa sababu haina tofauti kubwa sana na C yenyewe, isipokuwa C++ is hybrid ( both procedural and object-oriented) wakati C is procedural. Kwa ujumla, ukifahamu programming language moja vizuri, ni rahisi sana kufahamu zingine! Quote me.
 
Uzuri wa baadhi ya sisi watz tunapenda sana kubishina na kupenda kuonekana tunajua kila kitu. Kama Udsm zamani walikuwa wanafundisha programming language using Pascal siyo mbaya lakini kutokana na ukuwaji wa sayansi technologia kwa dunia ya leo mwanafunzi kuendelea kujifunza programming language using pascal ni upuuzi na ujinga, kwa sababu hata ukijifunza hii language huwezi kuitumia sehemu yoyote zaidi ya kusema umejifunza. Inawezekana Udsm kuajiri walimu wapya wa programming wanaona ni shida basi haina maana ya mwanafunzi kwenda kusoma udsm wakati akijua kbs baada ya kuhitimu chuo hawezi kuitumia anywhere in job market. Watz wengi wanalalamika kwamba wahindi na wakenya wanachukua ajira zao wakat gradutes wa tz wa computer science hawajui hata ku create web page wala kuandika simple program ya pay check. Jamaa ametoa maoni kwamba Udsm wanapaswa kwenda na wakati na ukuaji wa technolojia wengine wanampinga na kutoa maelezo yasiyo ya maana. Napenda kuwashauri wanafunzi wa computer science na wale wa I.T kujikita na programming language kama C++, C#, and Python. Ni aibu sna kwa graduate kumaliza chuo kikuu hata hajui ku program simple programs. Pitia links zifuatazo u download na kujifunza programming language and web page design.
(https://www.python.org/downloads/
XAMPP Apache + MySQL + PHP + Perl:
https://www.apachefriends.org/index.html
Running Python Scripts on Windows with Apache and Xampp: Xampp and Python
Visual Studio (Download Community 2015): https://www.visualstudio.com/
Python CGI Programming
HTML Tutorial
Kama mtu anahitaji msaada wa anything related to Information systems and cyber security please don't hesitate to contact me via(nec0007@uah.edu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…