MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,216
- 13,540
Mkuu nimeona ume-concentrate sana na MPESA API, I don't see the big deal here, I mean MPESA API mbona kazi ndogo, na am sure wapo wabongo wengi ambao washawahi ku-experiment with it.
Mimi mwenyewe nshawahi tafuta solution coz nilitaka kuintergrate my app to MPESA, Vodacom wanazingua, wanatoa majibu ya juu juu tu as if they don't care, na most of the times wanataka pesa. Ofcoz hata wakitaka niwatengenezee ni kitu simple tu coz tayari they have a database yenye all the transaction details.
Solution nzuri tu ya pembeni na nyepesi sana kuimplement, raspberry pi iliyo connected kwenye internet 24/7, weka modem na line iliyo-connected na MPESA account yako. Mtu akilipa message inaingia kwenye raspberry pi, unaandika script nyepesi ya kuhakikisha kua message imetoka Vodacom na sio kwingineko, una-parse all the required information namba ya simu ya aliyelipa, kumbukumbu namba, amount, tarehe, unatuma hiyo information kwa POST request kwenda kwenye the main server ambayo ina-authenticate kwa TOKEN kua ni kweli message imetoka kwenye raspberry pi yako na sio kwingine, then una-save that information kwenda kwenye database.
Simple na haina risk ya security threats.. The only problem utakayoface ni kama machine yako inayo-listen for incoming messages itaenda offline. Na sio lazima raspberry pi, hata ukiweka line kwenye simu na kutengeneza a simple android/iOS app inayolisten for the messages still inapiga mzigo vizuri tu.
This works quite well kwa almost any application bongo since hata kama ni watu wanalipia hawatokua in millions at the same time kwa hiyo it can handle the load. For very big application itakulazimu tu ucheze na backend Vodacom moja kwa moja coz they can't send you a million messages in a single day. Ila na yenyewe it shouldn't be something very hard to implement, am sure Vodacom wana server kubwa tu, wakimpa programmer yoyote aliye serious access kwenye system anaweza tengeneza, so yah! many Tanzanians can make it.
THIS IS ONE OF THE BIGGEST MIS CONCEPTIONAL ABOUT BEING A PROGRAMMER
Hili ndio tatizo letu watanzania , Bongo programmers are materialistic nerds , tunapenda sana kujisifia na kudharau wabongo wengine ndan ya hii field , just because it is easy for you to think about your idea that doesn't mean you can do it in a blink of an eye or as in pushing a button and BOOM its done .
Unaongelea kuhusu simplicity ya kutengeneza MPESA API kama vile ni assignment unayoweza kuifanya overnight kesho ukaisubmit , watu kama nyie nawaaita "Peoples with Abstract Programming Thoughts" . I won't go into details kuhusu ulivyoviongelea hapo juu , talking all about respberry pi , database , autheticating na other bunch of stuffs ambazo umeziacha and yet you still underestimate the complexity of doing all that stunts with what's in your mind. Unasema we mwenyewe ulitaka kuintagrate app yako na MPESA API , then vodacom wakazingua . alafu baada ya hapo ikawaje . ? uka give up ..? , ndio ni kweli kuwa voda wanazingua lakini what efforts have you done so far kuwaconvie kuwa idea yako kweli unaamin itafanya kazi , ushawahi kuwafuata na demo or a blue print of how your system works na wakafukuza .? kama ushawahi , je walikuambia hawaitaki au ushauri waliokupa uliufanyia kazi ukawarudishia feedback .?
Seriously with no security threat .? building an API that does money transcations with a kid computer ( raspberry pi ) , alafu unathubutu kusema itakua simple na haina security threat ? kuna kitu unakisahahu hapa , there's no standard for secure coding anywhere at any level. Unatengeneza software that relies on other softwares and is built with so many open libraries alafu unasema haitakuwa na security threat ? you must be a jumbo programmer na kama utaendelea kujiita programmer then someone is on his way to get you fired.
Mimi nimesoma UDSM computer science na Nashukuru Sana Pascal Kwasababu Ndio iliyonifanya nipende programming.
Naweza kusema kuwa bila Pascal mimi nisinge kuwa interested na programming. Nitakupa sababu.
Kwanza kabisa sijamdharau programmer yoyote yule, am simply stating facts coz nataka kuona programmers wengi na wazuri zaidi bongo.
Hehehe mkuu labda Raspberry Pi imekutisha sana ukadhani it won't be secured ati kisa ni machine unaweza nunua kwa $50.
Alafu cha kusitikitisha ni kua hujui unachokibishia.
Na kujibu swali lako, ndio hiyo application ni kitu ambacho nilitengeneza kwa SIKU MOJA narudia tena SIKU MOJA.
Na hata nikisema narudia from scratch naweza anza usiku huu nikakukabidhi kesho asubuhi a fully functional app, its that simple. Wewe una kazi gani ngumu wakati Vodacom washafanya kila kitu wanakuforwadia messages tu? Yaani kuparse message na kuiforward kwenye kwenye server nacho ni kitu cha kusema kikuchukua siku mbili kutengeneza? Hehehehe You gotta be joking.
Sasa nambie kuna security threat gani ku-receive data from only one location? Unadhani ukilock server inayopokea hizo request kureceive data from one single IP Address ambayo inapokea na ku-parse hizo messages kuna mtu ataingia kirahisi?
Alafu unakaa unadhani kufanya authentication kwa kutumia TOKEN as if ni rocket science, heheh mkuu kuna modules nyingi tu za kugenerate na kufanya token authentication ni simply import and use within 5 minutes and they work really well..
Wewe mtu ku-parse messages tuseme 100 kwa siku unadhani utahitaji uweke machine kubwa kiasi gani? A raspberry pi does that very very well. Na kama umesoma vizuri pale juu nimesema watu wenye transactions mfano million per day itabidi wapate access moja kwa moja from vodacom sababu they simply wont be able to receive that many messages per day.
Kama unahisi kuparse messages na kuauthenticate ni kitu huwezi kufanya ndani ya siku moja kwa kutumia RASPBERRY PI, ntakushauri urudi darasani ukasome.
A person with an abstracted programming mind.
.
2. Pascal is easy to learn..
Kweli udsm inajidhihirisha km a yesteryear institution. Criterion kubwa ya kuchagua programming language Ni number of available libraries. C, Java, Perl & Python ndizo zinaidadi kubwa ya libraries kkwa sass hivi.
Wewe mleta mada tatizo lako hauwezi kujiongeza mimi sioni tatizo lolote lile kufundisha kitu cha zamani wewe unaesoma kitu ndo unajukumu la kujiendeleza mpaka ujue vitu latest, maana uneshasema hakuna source nzuri ya kujufunza programming zaidi ya internet, sasa wewe unalalama ujifunze kitu kipya wakati vitu vyenyewe vinabadilika badilka tatizo wanafunzi wa siku hizi wanapenda kublame oooh topics mbovu za kizamani wewe mwenyewe soma hizo mpya na ufanye mabadiliko mbona tuliosoma sheria tulisoma sheria za 1920,1875 wakati zipo mpya za mwaka 2015? baada ya kumaliza hizo mpya tumekutana nazo kitaaa....louzy Tanzanian student...
Nikuambie kitu: una siasa sana. Umemove kutoka why Pascal ain't fit for teaching, nikakuambia kuwa kwa kuonekana tu wewe huna passion na this industry, sasa ni nini hiki kutaja wakenya na MPesa API ilhali unajua VodaCom Tanzania wako so closed, hata API ambazo tayari zipo kama Pesapi hazifanyi kazi kwa commercial / business mpesa accounts, only private ones?
Is creating such an API the ultimate test of programming skills kwako?
Wakati watu wanakupa solid reasons as to why PASCAL shouldn't be taught wewe unaanza kuilalamikia industry na kusema tunashindanisha vyuo?!
Acha siasa, veering off the topic to the wilderness na kuchomekeza vitu ambavyo havipo.
Mleta uzi you are missing a point my friend.
Mimi nimesoma UDSM computer science na Nashukuru Sana Pascal Kwasababu Ndio iliyonifanya nipende programming.
Naweza kusema kuwa bila Pascal mimi nisinge kuwa interested na programming. Nitakupa sababu.
Sisi tulianza na pascal first year then second year tukasoma Java, sikuipenda Java hata kidogo Sababu kubwa ni ugumu, Object Oriented Programing ukimfundisha beginner nakuhakikishia hatopenda programming
Pascal gives basics of programming na ni simple so inakufanya usikate tamaa. Baada Ya kusoma pascal mwanafunzi ndio apewe kitu kigumu zaidi otherwise ukitaka uanze na OOP straight utaingia chaka
NB: vyuo vikubwa ulivyo vitaja wanafunzi wengi wanaanza Chuo wakiwa na basics za programming na computer kwa ujumla. Sisi bongo Mtu unatoka zako kijijini hujawahi kushika computer uje uanze kusoma OOP mzee si kutafutiana ubaya?
Mazingira ni tofauti kaka Kwahiyo UDSM sio wajinga.
Unapotosha. Cjasempa Mpesa API ni ultimate test. Ni rahisi sana, mim nilijaribu wazo hilo 2011.Nimetumia kama mfano kukuonyesha urasimu uliopo ktk industry yako. Nawe umekiri urasimu huo.
Nasisitiza kama mtu huna product, service au patent, then acha boasting.
Katika miaka yangu 10 ya kufundisha programming, cjawah kuwa na mwanafunz aliyesoma programming A-level. Over 95% wanakuja kutumia PC kwa mara ya kwanza chuoni. Over 30% wanamaliza mwaka wa kwanza bila kuandika program hata moja mwenyewe kwa sababu hana access na PC.
Sasa watu wachache mliosoma programming A-level na mna access na PC majumban mwenu mnataka kuset standards ili mtoto wa st. kayumba azifuate.
Mwanafunz wa namna hiyo cwez kumpa mzigo wa kujifunza Java maana itabid nimfundshe programming na OO concepts kwa wakat mmoja. Hataelewa kabisa.
Keyword hapa ni algorithms. Thank u. Kwa kiwango cha Tz, SW zetu zina algorithms za kawaida sana, ndo maana unaona watu wanauliza kuku na yai nan mama wa mwenzie. Ndo maana nikasema language zote zinafanana kwenye mising-branchng, iteration, etc.watu wengi sio serious programers ndio maana mnabishana kuhusu which language is better,Upande wangu naamini ukiweza kudesign good aligorithims you can program in any language. Lengo la mtoa mada ni kuilaumu UDSM
Thank u!watu wengi sio serious programers ndio maana mnabishana kuhusu which language is better,Upande wangu naamini ukiweza kudesign good aligorithims you can program in any language. Lengo la mtoa mada ni kuilaumu UDSM