Wewe ni mwalimu wa chuo. But are you an active software developer? Are you teaching a trade you don't practice yourself? You don't carry with you the programmer spirit.
By the way, good programmers are self taught. I started creating computer programs in A level. Waalimu wa chuo mimi nilikuwa nawasahihisha makosa ubaoni. Hawanitishi kitu.
Mim niliwahi kuwa developer, nikaacha baada ya kuona siwezi kufanikiwa kwa kuwa developer tu, hasa hapa nchini mwetu. To be successful as a developer you need business acumem. Baada ya kuona proposal zangu zinaishia kapuni au napata dili halafu nakosa ujanja wa ten percent nikaiweka career hiyo pending. By the way, kama unataka mwandishi mzuri wa proposal, nitafute. Also, worked very briefly (as briefly as lightining) with Vesl technologies.
Hata wewe unaedhani ni successful developer. Mbona kuna opportunity ya ku-integrate mobile financial services (m-pesa,tigo-pesa airtel money) na web hujaichangamkia? Au wewe ni developer wa kutumwa na bosi? Au mnasubiri wakenya wawaletee kama walivyowaletea m-pesa? Tuwe wakweli industry ya software development nchini mwetu ni magumashi. Unaweza ukawa na idea nzuri, lakini usisikilizwe na wadau. Mfano, nenda Vodacom waambie unataka kutengeneza API itakayowezesha wanamziki kuuza nyimbo zao mtandaoni na watu wakanunua kupitia akaunti zao za M-Pesa. Jibu tuletee hapa. Watakupa access ya server zao kwa ajili ya testing? Plus, software development sio programming tu. Actually programming is the easiest part, kama stages za awali zimefanyika vizuri. How can you be so proud with a job that keeps you awake all night long? Aren't you married?
Kuhusu kuwarekebisha waalimu wako ubaoni. Inaonyesha wewe unaijua syntax ya language. Programming ni zaidi ya hapo. Ni algorithms. So no big deal for me. Mfano mim najua language 6 kwa ufasaha, naweza kuchanganya syntax wakati nafundisha. Hiyo haina maana mwanafunzi wangu ni bora kuliko mimi.
Sasa unaelezea challenges za software industry bongo. Not part of the topic. Challenges zilizokufanya ukimbie while we others work hard to overcome the hurdles. Uliikacha field hii kwasababu hukuwa na passion. You have no passion in software and you have been trusted to train young buds in the field. Big mistake.
Kwa spirit hii ya kuziruhusu changamoto zikwamishe jitihada zetu do you think we would get anywhere?
Are syntax errors the only errors lecturers make in class? Come on...
By the way, I was just striking a point. This isn't a big deal to anyone.
Hutakiwi kujua language 6 kwa ufasaha. Unatakiwa kujua moja tu, nyingine unakuwa familiar nazo.
Are syntax errors the only errors lecturers make in class? Come on...
By the way, I was just striking a point. This isn't a big deal to anyone.
Tengenezeni API ya MPesa-Web integration ndo muje mtambe na skills zenu za language. Diamond anaihitaji ili aweze kuuza nyimbo zake na aache kuwategemea wahindi kwa usambazaji. Kwa taarifa tu, Kenya wameshafanya toka Novemba mwaka jana. Badala ya wao kuja kuwauzia VodaCom baada ya miaka 3-5, muwauzie nyie. Watanzania wanahitaji online payment system inayoendana na mazingira yao. Badala ya kutambiana vyuo, mtambiane patents (yes patents) na product zingne.
Bravo.. But u are part of it dont discriminate.
Mama Msipitwe, hata kwenye programming upo?
Tengenezeni API ya MPesa-Web integration ndo muje mtambe na skills zenu za language. Diamond anaihitaji ili aweze kuuza nyimbo zake na aache kuwategemea wahindi kwa usambazaji. Kwa taarifa tu, Kenya wameshafanya toka Novemba mwaka jana. Badala ya wao kuja kuwauzia VodaCom baada ya miaka 3-5, muwauzie nyie. Watanzania wanahitaji online payment system inayoendana na mazingira yao. Badala ya kutambiana vyuo, mtambiane patents (yes patents) na product zingne.
Tatizo la professional programmers kama wewe ni kuamin kwakuwa unajua Java na unafanya kazi kwa kutumia Java basi unaweza kumfundisha mtu lugha hiyo.
Tengenezeni API ya MPesa-Web integration ndo muje mtambe na skills zenu za language. Diamond anaihitaji ili aweze kuuza nyimbo zake na aache kuwategemea wahindi kwa usambazaji. Kwa taarifa tu, Kenya wameshafanya toka Novemba mwaka jana. Badala ya wao kuja kuwauzia VodaCom baada ya miaka 3-5, muwauzie nyie. Watanzania wanahitaji online payment system inayoendana na mazingira yao. Badala ya kutambiana vyuo, mtambiane patents (yes patents) na product zingne.
Mkuu nimeona ume-concentrate sana na MPESA API, I don't see the big deal here, I mean MPESA API mbona kazi ndogo, na am sure wapo wabongo wengi ambao washawahi ku-experiment with it.
Mimi mwenyewe nshawahi tafuta solution coz nilitaka kuintergrate my app to MPESA, Vodacom wanazingua, wanatoa majibu ya juu juu tu as if they don't care, na most of the times wanataka pesa. Ofcoz hata wakitaka niwatengenezee ni kitu simple tu coz tayari they have a database yenye all the transaction details.
Solution nzuri tu ya pembeni na nyepesi sana kuimplement, raspberry pi iliyo connected kwenye internet 24/7, weka modem na line iliyo-connected na MPESA account yako. Mtu akilipa message inaingia kwenye raspberry pi, unaandika script nyepesi ya kuhakikisha kua message imetoka Vodacom na sio kwingineko, una-parse all the required information namba ya simu ya aliyelipa, kumbukumbu namba, amount, tarehe, unatuma hiyo information kwa POST request kwenda kwenye the main server ambayo ina-authenticate kwa TOKEN kua ni kweli message imetoka kwenye raspberry pi yako na sio kwingine, then una-save that information kwenda kwenye database.
Simple na haina risk ya security threats.. The only problem utakayoface ni kama machine yako inayo-listen for incoming messages itaenda offline. Na sio lazima raspberry pi, hata ukiweka line kwenye simu na kutengeneza a simple android/iOS app inayolisten for the messages still inapiga mzigo vizuri tu.
This works quite well kwa almost any application bongo since hata kama ni watu wanalipia hawatokua in millions at the same time kwa hiyo it can handle the load. For very big application itakulazimu tu ucheze na backend Vodacom moja kwa moja coz they can't send you a million messages in a single day. Ila na yenyewe it shouldn't be something very hard to implement, am sure Vodacom wana server kubwa tu, wakimpa programmer yoyote aliye serious access kwenye system anaweza tengeneza, so yah! many Tanzanians can make it.
Mimi hua ni mfuatiliaji sana wa mambo hasa ya technology. UDSM kama chuo kinachoongoza Tanzania nilikua nategemea watakua mstari wa mbele kuendana na mabadiliko kwenye technology.
Nimepitia Syllabus yao ya hawa wanaoenda kusoma Computer Science/Engineering, yaani first year semester zote mbili Introduction to programming in Pascal.
Hivi nani dunia hii bado anatumia Pascal? Why learn a language ambayo hutokuja kuitumia mbeleni hata siku moja, hakuna industry inatumia Pascal siku hizi, na hakuna anayetafuta kujiajiri au kuajiri mtu mwenye experience na Pascal.
Miaka yote naona course outline haibadiliki, hawapangi kitu kipya, everything is old. Kuna languages nyingine nyingi nzuri zinazofaa kumpa mtu introduction into Programming, Python being one of them au angalau C japo watu wanalia "pointers, dynamic memory allocation" ila ni vitu vikielezwa vinazoeleka vizuri tu. No wonder serikali inalalamika daily kua watu vijana wanaomaliza Tanzania hasa engineering courses hawana uwezo wa kujiajiri.
Ni vizuri kuwapeleka speed wanafunzi kuanzia mwaka wa kwanza sio wanagusa vitu boring wanapoteza interest.