Ulichokiandika ni summary ya ile thread nzima.Hoja yako ingekuwa na mashiko kama zamani kilikuwa nafasi za juu, kikashuka
Na kinaporomoka kwa spidi ya Airbus Mkuu..Hoja yako ingekuwa na mashiko kama zamani kilikuwa nafasi za juu, kikashuka
chanzo ni CCMChuo kikuu cha DAR ES SALAAM pamoja na kuwa ni chuo chenye kuchukua wanafunzi waliofaulu zaidi mitihani ya kidato cha Sita na baadhi ya wanafunzi kukilaumu chuo hicho kuwa na urasmu na upendeleo wa wazi kwa baadhi ya wanafunzi bado ni chuo kilicho nyuma sana miongoni mwa vyoo vikuu barani Africa.Baadhi ya viongozi wa kitaifa kupitia chuo hiki kuna haja ya kufanyà kila linawezekana kubadilisha hali hii na kujua chanzo cha kukifanya chuo hiki kubakia kuwa chuo dhaifu kwa utoaji wa elimu miongoni mwa vyoo barani Afrika.Kama wadau mnafikiri nini chanzo cha chuo chetu kubakia kuwa nyuma barani AFRICA na Africa mashariki na kati? Ingia mtandaoni utaona tuko nafasi ya ngapi.Tuko nafasi ya 36 kwa mwaka 2018-2019
Mkuu tutake radhi wana SUA, hatujawahi toka nje 100.Udsm zamani kidogo miaka ya 2009 ndo kilikuwa tano bora kwenye ranking ya vyuo vikuu vya kusini kwa jangwa la sahara, hapo nakumbuka ilifuata SUA 22, ikafuata Mzumbe 39 na IFM 74,
Lakin tokea 2013 nimekuwa nafuatilia index hizo udsm inacheza 27+ hivi vingine kwenye 200+
Hahahahah...graduates hawajui kiswahili wala EnglishHivi udsm nacho ni "chuo kikuu"?
chanzo ni CCM
Pascal..wewe umepita UDSM ebu jaribu kufika kwa sasa uone kipi kinaendelea pale. Lile ni jalala kwasasa...alafu sijui kwanini maaskari wa. FFU ni wengi pale siku hiziHoja yako ingekuwa na mashiko kama zamani kilikuwa nafasi za juu, kikashuka