UDSM mwaka huu kuna nini?

Hata huyu wap CE? 1 ya t5? Ina maana huu mwaka 3 na 4 ziko za kutosha eeh?
Kwa PCM 3, 4 na baadhi ya 5 ziko jumla ziko 472.Kati ya hao 50,tayari wako kambini kusoma nje ya nchi kupitia samia scholarship extended.

Muulize ni kweli amepata 5,isije ikawa kakudanganya.Because PCM vipanga wengi hukimbilia electrical,biomedical,telecommunication na petroleum.
 
Hata huyu wa CE? 1 ya 5? Ina maana huu mwaka 3 na 4 ziko za kutosha eeh?
ONE ya 3 na 4 Mwaka huu ni wenhi sana na Kitaifa wanafunzi wanaosoma sayansi wamekuwa wengi kuliko sanaa na Biashaara

Kuna Dgo O level ana One ya 8 Advance ana ONE ya 6 PCB Hadi sasa hajapata chuo chochote!!
 
Duuh polee yake sana, ajaribu kuangalia vyuo visivyo na competition, anaweza pata.
 
Nani kakudanganya? Vipanga wengi, hukimbilia Civil, Electrical, na Mechanical, Telecommunications, petroleum kuna kipindi zilikua na soko, kwa sasa wengi wao wanalia,
Labda hiyo Biomedical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…