Ukweli ni kwamba 1 ya 3 au 4 sio issue anymore kila mtu amefaulu marahi elimu yetu haina thamani tena ilisha ingiliwa na siasa .Habarini wana jukwaa.
Nimeona nije hapa jukwaani nitoe hili jambo, huenda nitapata ufafanuzi.
Nimekuwa nikikutana na malalamiko ya wanafunzi waliomaliza form 6 mwaka huu, wanaotarajia kujiunga na vyuo hivi karibuni. Wengi wao wanalalamika kuwa kila waombapo nafasi UDSM wanakataliwa, na wengine wanadiriki kusema kuwa vigezo sahihi wamekidhi kulingana takwa husika.
Sio mtaani wala mtandaoni ni malalamiko juu ya vijana na mabinti wanaotarajia kujiunga na Elimu ya Juu. Kuhusu Kukataliwa kuwa admitted hapo UDSM.
kuna huyu jirani yangu, yeye alisoma Ilboru Sec mchepuo wa PCM, kapata 1 ya 5, kachagua Udsm Course ya Civil Engineering, kakosa, bas analalama kila muda, hapa hata mie nimeshanga, huyu vigezo amekidhi kabisa, au labda huu mwaka 1 ya 3 na 4 ziko nyingi, hivyo inafanya wenye 5 na kuendelea wakose nafasi hapo COET?
Na Malalamiko ni kwa kila kada wanalalama mno, huku wakiwa na 1 zao nzuri, shida nn? Au utaratibu umebadilika hapo siku hizi? Kulikoniii?
Najua hapa kuna wafanyakazi, wana taaluma, wahadhiri, kutoka hapo UDSM, hebu mje mtoe ufafanuzi kutuondolea sintofahamu hii, maana huku uraiani hali ni mbaya watoto wanavurugwa vibaya, wakati ndoto zao ni kuwa hapo Mlimani main campus.
Tujuzweee kulikoniiiii?
Yaan watoto wanavurugwa huku hatariii. Sasa kila mtu akitaka awe UDSM vyuo vingine watasoma kina nani? DoohUfaulu umekua mkubwa na wahitimu ni wengi, ushindani unakuwa mkubwa kwavile karibia kila mwanafunzi ndoto yake nu kusoma UDSM nafasi zinajaa mapema.
Kuna chuo kikuu halafu kuna Chuo kikuu kikuu cha Tz. Watu wanabisha ila kuna raha fulani kuchaguliwa UDSM.Yaan watoto wanavurugwa huku hatariii. Sasa kila mtu akitaka awe UDSM vyuo vingine watasoma kina nani? Dooh
ExactlyHata huyu wa CE? 1 ya 5? Ina maana huu mwaka 3 na 4 ziko za kutosha eeh?
1 ya 5 alaf analalamika, pale wanaenda clean tupu, Triple A.Habarini wana jukwaa.
Nimeona nije hapa jukwaani nitoe hili jambo, huenda nitapata ufafanuzi.
Nimekuwa nikikutana na malalamiko ya wanafunzi waliomaliza form 6 mwaka huu, wanaotarajia kujiunga na vyuo hivi karibuni. Wengi wao wanalalamika kuwa kila waombapo nafasi UDSM wanakataliwa, na wengine wanadiriki kusema kuwa vigezo sahihi wamekidhi kulingana takwa husika.
Sio mtaani wala mtandaoni ni malalamiko juu ya vijana na mabinti wanaotarajia kujiunga na Elimu ya Juu. Kuhusu Kukataliwa kuwa admitted hapo UDSM.
kuna huyu jirani yangu, yeye alisoma Ilboru Sec mchepuo wa PCM, kapata 1 ya 5, kachagua Udsm Course ya Civil Engineering, kakosa, bas analalama kila muda, hapa hata mie nimeshanga, huyu vigezo amekidhi kabisa, au labda huu mwaka 1 ya 3 na 4 ziko nyingi, hivyo inafanya wenye 5 na kuendelea wakose nafasi hapo COET?
Na Malalamiko ni kwa kila kada wanalalama mno, huku wakiwa na 1 zao nzuri, shida nn? Au utaratibu umebadilika hapo siku hizi? Kulikoniii?
Najua hapa kuna wafanyakazi, wana taaluma, wahadhiri, kutoka hapo UDSM, hebu mje mtoe ufafanuzi kutuondolea sintofahamu hii, maana huku uraiani hali ni mbaya watoto wanavurugwa vibaya, wakati ndoto zao ni kuwa hapo Mlimani main campus.
Tujuzweee kulikoniiiii?
Aende MUSTHabarini wana jukwaa.

Competition ni kubwa but form six leavers wengi wanaotaka engineering dit ni bora zaidi kuliko udsm .Habarini wana jukwaa.
Nimeona nije hapa jukwaani nitoe hili jambo, huenda nitapata ufafanuzi.
Nimekuwa nikikutana na malalamiko ya wanafunzi waliomaliza form 6 mwaka huu, wanaotarajia kujiunga na vyuo hivi karibuni. Wengi wao wanalalamika kuwa kila waombapo nafasi UDSM wanakataliwa, na wengine wanadiriki kusema kuwa vigezo sahihi wamekidhi kulingana takwa husika.
Sio mtaani wala mtandaoni ni malalamiko juu ya vijana na mabinti wanaotarajia kujiunga na Elimu ya Juu. Kuhusu Kukataliwa kuwa admitted hapo UDSM.
kuna huyu jirani yangu, yeye alisoma Ilboru Sec mchepuo wa PCM, kapata 1 ya 5, kachagua Udsm Course ya Civil Engineering, kakosa, bas analalama kila muda, hapa hata mie nimeshanga, huyu vigezo amekidhi kabisa, au labda huu mwaka 1 ya 3 na 4 ziko nyingi, hivyo inafanya wenye 5 na kuendelea wakose nafasi hapo COET?
Na Malalamiko ni kwa kila kada wanalalama mno, huku wakiwa na 1 zao nzuri, shida nn? Au utaratibu umebadilika hapo siku hizi? Kulikoniii?
Najua hapa kuna wafanyakazi, wana taaluma, wahadhiri, kutoka hapo UDSM, hebu mje mtoe ufafanuzi kutuondolea sintofahamu hii, maana huku uraiani hali ni mbaya watoto wanavurugwa vibaya, wakati ndoto zao ni kuwa hapo Mlimani main campus.
Tujuzweee kulikoniiiii?
Wanajua kusoma kaswida ? Kama hawajui waambie waendelee kusubiri nafasi zilizo saliaHabarini wana jukwaa.

Matokeo ya mwaka umeyaona lakini? Hiyo ni shule moja tu tena ya kawaidaHabarini wana jukwaa.

Qualifications za kusoma kozi yoyote UDSM ni D mbili tu. Sasa kama capacity ni kudahili wanafunzi 100 na waombaji ni 1000 utawachuja vipi hao ubaki na 100?UDSM wanafanya mambo ya kizamani sana.
Wasichojua ni juwa dunia ya sasa ufaulu unaongezeka sana one zipo kibao sawa ila sasa sio nyingi kama inavyosemwa
Wote hawawezi kusoma hapo sawa ila hata huyo mwenye 1.5 kweli?? Anakosa??