naheshimu mawazo yako pia ni vizuriNaomba nikupuuze kwenye mijadala humu jukwaani
naheshimu mawazo yako pia ni vizuriNaomba nikupuuze kwenye mijadala humu jukwaani
ww unataka nn kati ya hizo??Msaada wa mawazo jaman.
MBB ni nzuri n INA solo LA ajira maeneo mengi na scholarship sake zipo nyingi
Hamuelewi mnachoongea.Asome mbb ni new modern technology na imereplace sc.kozi nyng sana from food,health,env,agri,pharmace