mkandalla, maboko wote ni makuadi wa ccm, mie sihsngai kwani walituzingua enzi zetu hizo. Wajinga sana.
Wakati tukiwa chuo, alikuwepo waziri wa mikopo daruso, alijulikana kwa jina la bushi. Alituongoza sana wanafunzi, wengi tukapata mikopo. Lakini alipomaliza chuo, menejiment sijui walifikiria nini, wakaamua kumchukua na kumweka akawa sehemu ya management ya udms.
Kinachonishangaza ni kwamba, tangu alipopewa nafasi hiyo, harakari zote alizokuwanazo ziliisha, na si ajabu yeye aliyekuwa mwanaharakati akakubaliana na maboko. Nitamhesabia kuwa mwanaharakati feki, msaliti na hafai katika nfasi aliyopewa na chuo.
Ama kweli mtu ajifanyaye kuwa kidom, mpe nafasi katika system, yatamshinda, atasahau harakati zake zote.
Inculsion system by max weber