UDSM mgomo wanukia Mapema chuo kikifunguliwa

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
245
Swala la wanafunzi 1600 wa intake mpya Udsm inahatarisha Hali ya chuo Juzi Maboko alifikia kukataa kuwaadmit wanafunzi wasio na mkopo kwa kuhofia Mgomo Je tutafika ?↲
Nawasilisha
 
tatizo bodi ndo wana makosa Maboko anaogopa wanafunz watashindwa kulipa na italeta mgomo
 
Mambo ya mkopo yanatatiza,kwa mfano mtu ana Div one kwao ni matawi.pia nae anapewa mkopo?maskini ana div two ananyimwa mkopo?
 
Kama Maboko anaogopa wanafunzi 1600 na pale udom patakuwaje?!!! Coz idadi hiyo ya udsm X3 ndio waliotupeleka udom bila ya mikopo. Saidi Mwema ajiandae na wale vijana wake wa ffu harufu ya migomo inanukia kwakwli...
 
Kwa mantiki ya thread hii Maboko ndio atakua chanzo cha mgomo eeeeh?! Basi mmepona ngoja wagombane wao tu nyie tulieni, pigeni shule halafu Maboko ndio atamalizana nao juu kwa juu!
 
mkandalla, maboko wote ni makuadi wa ccm, mie sihsngai kwani walituzingua enzi zetu hizo. Wajinga sana.

Wakati tukiwa chuo, alikuwepo waziri wa mikopo daruso, alijulikana kwa jina la bushi. Alituongoza sana wanafunzi, wengi tukapata mikopo. Lakini alipomaliza chuo, menejiment sijui walifikiria nini, wakaamua kumchukua na kumweka akawa sehemu ya management ya udms.

Kinachonishangaza ni kwamba, tangu alipopewa nafasi hiyo, harakari zote alizokuwanazo ziliisha, na si ajabu yeye aliyekuwa mwanaharakati akakubaliana na maboko. Nitamhesabia kuwa mwanaharakati feki, msaliti na hafai katika nfasi aliyopewa na chuo.

Ama kweli mtu ajifanyaye kuwa kidom, mpe nafasi katika system, yatamshinda, atasahau harakati zake zote.

Inculsion system by max weber
 
kwa mantiki ya thread hii maboko ndio atakua chanzo cha mgomo eeeeh?! Basi mmepona ngoja wagombane wao tu nyie tulieni, pigeni shule halafu maboko ndio atamalizana nao juu kwa juu!

hujamwelewa mleta mada, maboko ndiye anayechochea mgomo kwa kuwanyima watoto wa maskini nafasi ya kusoma mpaka walipe ada. Maboko anasahau kuwa udsm ni chuo cha umma, na umma wa watanzania ni maskini.
 
kama maboko anaogopa wanafunzi 1600 na pale udom patakuwaje?!!! Coz idadi hiyo ya udsm x3 ndio waliotupeleka udom bila ya mikopo. Saidi mwema ajiandae na wale vijana wake wa ffu harufu ya migomo inanukia kwakwli...

kama ningekuwa mwema, nisingetoa askari. Lakini kwa system ilivyo, kwa kuwa mwema anachaguliwa na rais ambaye hana uchungu na wananchi/nchi yake mwenyewe, mwema nahisi atapeleka askari wakapige wanafunzi maskani wa kitanzania wanaopambana kupata haki ya kusoma. Kama mwema atafanya upuuzi huu, naye hatufai kama ilivyo kwa maboko na mkandala ambao walisoma bure lakini wamesahau yote haya, leo mtoto wa maskini anakatazwa asisome mpaka alipe ada , mamilioni ya tsh.
 
Maboko hana kosa,kosa lipo kwa watoa mikopo.kwa nn wengine wamekosa mikopo?
 
mambo ya mkopo yanatatiza,kwa mfano mtu ana div one kwao ni matawi.pia nae anapewa mkopo?maskini ana div two ananyimwa mkopo?

wajinga tu, yaliyomkuta gaddaff kwa kuwanyima haki kuongoza nchi walibya yatawafikia mda si mrefu hawa mabepari wa ccm wasiokuwa na utu.

Mkandala ndiye aliyeandaa ilani ya uchaguzi ya ccm 2005, baada ya jk kushinda akapewa aksante ya kuwa vc udsm. Wote wapo kuhakikisha watanzania tunadhulumiwa, tunanyanyaswa, tunaonewa. Cku zao zinahesabika kama ufalme wa gadaf
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom