UDSM mbona baada ya kupokea pesa mnazingua?

UDSM mbona baada ya kupokea pesa mnazingua?

IMEKAA VIZURI .INACHUKUA TWENTY FOUR HRS FOR SOMETIMES
Hivyo tuendelee kuwasubili. Maana tuliopo mbali na chuo hata ujanja wa kusema tufike chuoni kuuliza kulikoni imekuwa hivi hatuna!
 
IMG-20170726-WA0010.jpg

Umeiskia hiyo kutoka TCU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu kazi ipo....mtu mmoja kakurupuka bila kuwashirikisha wadau wa elimu anaruhusu vyuo vipokee maombi...
Nawaonea huruma wadogo zangu mnaoomba vyuo mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tengeneza email address mpya tu uanze upya.Ukikosea huwezi ku edit.System ya kipumbavu kabisa
Ukifungua mpya system itakujibu kuwa matokeo uliyoingiza kuna mtu kaisha yatumia. Hebu jaribu ujionee.
 
Ukifungua mpya system itakujibu kuwa matokeo uliyoingiza kuna mtu kaisha yatumia. Hebu jaribu ujionee.
Nilikuwa namfanyia application mtoto wa sister, alikosea kuweka mailing address nilifanya hivyo nikafanikiwa , ila sikuwa nimefika kwenye kuingiza academic details ndio maana nikakwambia hivyo.sorry
 
Nilikuwa namfanyia application mtoto wa sister, alikosea kuweka mailing address nilifanya hivyo nikafanikiwa , ila sikuwa nimefika kwenye kuingiza academic details ndio maana nikakwambia hivyo.sorry
Ss mm nimeshalipia tatizo
 
Back
Top Bottom