Kutokea jana nimetuma pesa kwenye akaunti ya UDSM kwa njia ya MPESA shilingi elfu 20,000 lakini hadi leo ninaonekana sijalipa na ujumbe ni ule ule wakati walitoa taarifa kwamba tovuti yao itajibadili automatic ukishalipa na kukuruhusu uendelee na maombi. Kwa wizi huu kesho nina amkia UDSM bila hiyana.
