UDSM main campus mliwekea taa za Barabarani kwa Msaada ila sasa zote zimekufa

UDSM main campus mliwekea taa za Barabarani kwa Msaada ila sasa zote zimekufa

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,101
1. Wazee wa jalalani walipewa Msaada na LIONS CLUB kufungiwa taa za solar kwenye barabara na mitaa main campus (bure) ukipita usiku hizo taa zimekufa karibu zote kumebaki Giza totoro. Mule ndani kwa sasa kumekua hatari sana.

Hivi Uongozi hapo wanaweza nini zaidi ya kununua Magari ya kifahari na viofisi vyao kama vyoo?

2. Chuo Kikuu kweli mnafikirisha aisee. Vyoo navyo mnasubiri Msaada toka Ulaya?
 
Kama Makamu mkuu mwenyewe wa chuo ndiyo yule Profesa Chawa wa jalalani anayejikomba komba kwa watawala, hata sishangai.
 
Watu wetu wanawaza namna ya wao kujipatia kipato, kuhusu raslimali za uma hawana habari nazo.
Ziwepo, zisiwepo hawajali.
Hapo unawaongelea wasomi waliotukuka, hali inakuwaje kwenye maeneo mengine?
 
Na Chancellor wao ni Chikwete
 
Michawa inapark migar ya maboss pale utawala utadhani kitu cha maana
 
Back
Top Bottom